Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Vijana someni Uuguzi, una fursa nyingi

Shida sio usahihi Bali maudhui ya taarifa kuhusu trend ya udaktari nchini na duniani. Hushangai Leo ukitaka madaktari kutoka Cuba, urusi, misri, au Kenya watakuja kibao tena fasta. Ndio maana siku hizi hakuna migomo ya madaktari inayofanikiwa kuwaletea tija, labda migomo hiyo wawemo na manesi. Maana kuna kundi la MA MD linaranda huko mitaani. Kuna mwaka madaktari Kenya waligoma na kutishia kuleta madaktari wa Tanzania kufanyakazi huko, weeee vijana wetu walifurumuka kibao walifuta mavumbi vyeti vyao kuomba nafasi hizo lakini wakapigwa mkwara kukanyaga kenya kama vile walivyopigwa mkwara Botswana
Siyo kwa trend hiyo anayoisema huyo.

Mkisema CO sawa lakini MD???
Nyie acheni kutisha vijana,
Waache wasome MD kama wana passion nayo.
 
Kwanini mzazi akubali mtoto apoteze miaka sita na fedha na deni kubwa kwa mtoto kusoma MD Badala ya kutumia rasilimali muda, pesa na vitu kama mtaji kwa kijana, au kusoma kitu kingine ili kupunguza msongamano kwenye MD?
Kwani hizo fani nyingine mtoto anasoma kwa mawe?
Si nazo zinahitaji fedha???
Mbona mmeiandama sana MD jamani!
Kila mtu asome anachowiwa.
 
siku hizi wasomi wamekua wengi mnoo sio madaktar tuu ni fani zote kuna lundo la graduates

Kwahio kila mtu ashinde mechi zake kama unataka kusoma MD kasome tena kwa moyo wote mwisho wa siku kupata kazi ni CONNECTION +MIPANGO YA MUNGU

wapo watu wanamaliza MD na wanapata connection wanalipwa hela hata zaidi ya 2millions....

Wapo waalimu wanamaliza wanapata connection na wanalipwa zaidi ya 2millions..

Ko kila mtu ashinde mechi zake watu wasitishane na kukatishana tamaa

NB:KILA MTU NA RIZQ YAKE
 
wapo watu wanamaliza MD na wanapata connection wanalipwa hela hata zaidi ya 2millions....

Ko kila mtu ashinde mechi zake watu wasitishane na kukatishana tamaa

NB:KILA MTU NA RIZQ YAKE

Sio MDs tu, kuna ma clinical officers wanalipwa zaidi ya 2m kwenye hizi international organization.

Kama ulivyosema CONNECTION +MIPANGO YA MUNGU.
 
siku hizi wasomi wamekua wengi mnoo sio madaktar tuu ni fani zote kuna lundo la graduates

Kwahio kila mtu ashinde mechi zake kama unataka kusoma MD kasome tena kwa moyo wote mwisho wa siku kupata kazi ni CONNECTION +MIPANGO YA MUNGU

wapo watu wanamaliza MD na wanapata connection wanalipwa hela hata zaidi ya 2millions....

Wapo waalimu wanamaliza wanapata connection na wanalipwa zaidi ya 2millions..

Ko kila mtu ashinde mechi zake watu wasitishane na kukatishana tamaa

NB:KILA MTU NA RIZQ YAKE
Hatumkatishi mtu tamaa na Wala hatwendi kiwachomoa madarasani na wodini walikolumdikana. Tunachokifanya ni kuwapa taarifa ili wafanye informed choice.
 
Hatumkatishi mtu tamaa na Wala hatwendi kiwachomoa madarasani na wodini walikolumdikana. Tunachokifanya ni kuwapa taarifa ili wafanye informed choice.

[emoji1787][emoji1787][emoji1787]et walikolundikana duh wazee mna maneno magumu duh[emoji119][emoji119]
 
Manesi wenyewe Hawajikubali kabisa yani wanaona kama ni Wamesoma bhasi tuu... Na mimi kwa kukaa kwangu Hospital Manesi wanastahili kulipwa zaidi ya Dr tokana na majukumu yao aisee wale watu wanachoka sanaa sema ndo hivyo Ukiwa na kazi ngumu mshahara unazidi kuwa mdogo..
 
siku hizi wasomi wamekua wengi mnoo sio madaktar tuu ni fani zote kuna lundo la graduates

Kwahio kila mtu ashinde mechi zake kama unataka kusoma MD kasome tena kwa moyo wote mwisho wa siku kupata kazi ni CONNECTION +MIPANGO YA MUNGU

wapo watu wanamaliza MD na wanapata connection wanalipwa hela hata zaidi ya 2millions....

Wapo waalimu wanamaliza wanapata connection na wanalipwa zaidi ya 2millions..

Ko kila mtu ashinde mechi zake watu wasitishane na kukatishana tamaa

NB:KILA MTU NA RIZQ YAKE
Msumari wa Mwisho kabisq huu.. Siku hizi hakuna kwenye Unaafuu kabisaa yani Hata Madaktari hali ngumu sana afadhali pharmacy utapata hata ya cheti ila nyie hali ni utata sanaa..!! Usimpe mtu matumaini juu ajira kama anasoma asome mambo ya kazi hayatabiriki.. Wapo jamaa zangu walisoma ECA leo wana maisha mazuri tu mpaka unashangaa vijana walipiga vizuri wengine wakaenda Udaktari wengine sijui Petrolium jamani Mtaa UNANYOOSHA HASAAA YANI MNOO.

KUHUSU AJIRA SOKO SIKU HIZI HAKUNA MWENYE UHAKIKA
 
Hizi hapa takwimu..kutoka kwenye mwongozo wa kujitolea ndani ya sekta ya afya..mwongozo umetoka mwaka 2021 july.

#MaendeleoHayanaChama
20220111_160725.jpg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizi hapa takwimu..kutoka kwenye mwongozo wa kujitolea ndani ya sekta ya afya..mwongozo umetoka mwaka 2021 july.

#MaendeleoHayanaChama View attachment 2077115

Sent using Jamii Forums mobile app
Safi sana, lakini hii idadi ya wahitimu 981 ya mwaka 2019 Sasa hivi ni zaidi ya mara mbili. Idadi ya wanafunzi wa MD waliodahiriwa vyuo imefurika baada sifa za ufaulu wa kuingia vyuoni kusoma MD kushushwa sana kuwa DDD TU kwenye physics, chemistry na biology kutoka ule wa DCC kwenye physics, chemistry and biology. Idadi ya wanafunzi wa Shahada ya Nursing imebakia kuwa ECD kwenye physics, chemistry and biology. Idadi kubwa ya applicants wa MD ni furaha kwa vyuo kwenye kupiga mpunga hivyo kila chuo kimejenga/kukodi/kutumia maholi makubwa ya kuwasomeshea hawa mbuzi wa kafara (migodi ya dhahabu kwa vyuo). Vyuo vingine vinajenga campus mpya ili viongeze udahiri wa hawa cadres.

Idadi hii kubwa ya watoto wanaotaka kuwa madaktari imevutia vyuo vingi kuanzisha faculty ya medicine. Leo hii hata University of Dar es salaam na St. Joseph wanafundisha MD ambao hawajaanza bado kugradute na kuingia sokoni. Hivyo miaka 5 ijayo idadi ya wahitimu wa MD itakuwa zaidi ya 3000 kwa mwaka.
 
Ina maana kuanzia 2015 graduates wa MD ni almost sawa na graduates wa CO?!!!

Kwa hii idadi ya CO nnayoiona mtaani am safe to say MD haina ishu tena.
Hizo ndio takwimu halisi za wahitimu kada za afya nchini...kimsingi kilichobaki ni bahati na konekisheni..kwa watoto wa masikini ni kurudi home na kulima tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hizo ndio takwimu halisi za wahitimu kada za afya nchini...kimsingi kilichobaki ni bahati na konekisheni..kwa watoto wa masikini ni kurudi home na kulima tu.

#MaendeleoHayanaChama

Sent using Jamii Forums mobile app
WAtoto wetu tuwaambie ukweli badala ya kuambia hadithi za alfu lela ulela. Hata hiyo nursing yenyewe ninawashauri wasome wale ambao wanaona kuwa ni lazima waajiriwe na mtu. Hii ndio kidogo ambayo ni afadhali kwenye ajira. Maana hata shule za chekechea, msingi, sekondari, vyuo, migodini, viwandani na hostels Kuna ajira za manesi nyingi.
 
Back
Top Bottom