Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

Kwani makapi yanalipiwa bwasheee

Makapi yanaliwa bure siku zote.
Hakuna cha makapi, yeye atatoa pesa Halafu pesa zitapelekwa kwa six pack
Kuwa na pesa haikupi security ya mwanamke kuwa loyal kwako.
Six pack huwa wanapewa Staili ya popo kanyea mbingu, hicho kitambi kitakuwa kinajamba tu
 
Sisi team “kataa ndoa “
Tupumue haina haja ya kwenda gym
Maana hatuoi😂
 
BINTI MWENYEWE ANAEOLEWA MAMBO SAFI. MATAJIRI WANAOANA WAO KWA WAO
 

Binti mwenyewe ni mtoto wa tajiri pia
 
huyu mtoto wa kike (radhika) baba yake ni bilionea in usd na yeye ni milionea in usd mtoto wa mukesh ambani naye ni billionea in usd so pesa imefuata pesa .
 
Huwajui wanawake wewe. Mwanamke ni mwanamke tu,pesa kwanza mengine baadae
Hahahahaa hujui wahindi wewe, unadhan ni bongo hapo?

Yaan wanawake wa kibongo mnafikiriaga gold digging 24/7
 
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
Tutafute pesa tuwe na pisi kali? na tukiwa nao tunapata nini? pisi kali inaweza kuwa kwako kwangu kituko tu!
Mfano:unaweza pata pis yenye matako kubwa, kwangu mimi sipendi kwa sbb"akili na matako havikai mwili mmoja"

Pia sioni kama pesa ni suruhisho la kila kitu, manara, masanja, mwaka unakumbuka habari zao?
Je habari za bilionea kutaliki mke, na mke kukosa vyote ya hivi karibuni unaikumbuka?
je ya yule bilionea wa Arusha, aliyepigwa risasi na mdogo wake kuchinjwa?

Je unawajua hawa? matajiri na wake zao warembo hatari, Mwisho wa siku wametalikiana:
Jeff Bezos and MacKenzie Scott.
Bill and Melinda Gates.
Elon Musk and Justine Musk and Talulah Riley (Talikiana mara mbili)
Kim Kardashian and Kanye West

Pia kijana akiwa na pesa nyingi, wanawake wengi wanamtafuta
Naona ni wakati wa kuibadirisha hii kauli mbiu,, "kijana tafuta pesa"

na iwe: Kijana Tafuta pesa uwe na wanawake wengi
 
Duh mtu asifanye mazoezi,atafute hela Ila apate demu mzuri?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…