Kutafuta helapoint ni nn
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kutafuta helapoint ni nn
Mti weka MTUPole pole mkuu, rekebisha spelling tukuelewe
Hakuna cha makapi, yeye atatoa pesa Halafu pesa zitapelekwa kwa six packKwani makapi yanalipiwa bwasheee
Makapi yanaliwa bure siku zote.
View attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
Unataka nijibuje 🥴Kumbe na ww unatoa bure kwa wenye six packs
ww hela unazo..?Kutafuta hela
huyu mtoto wa kike (radhika) baba yake ni bilionea in usd na yeye ni milionea in usd mtoto wa mukesh ambani naye ni billionea in usd so pesa imefuata pesa .View attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
Hahahahaa hujui wahindi wewe, unadhan ni bongo hapo?
Yaan wanawake wa kibongo mnafikiriaga gold digging 24/7
Tutafute pesa tuwe na pisi kali? na tukiwa nao tunapata nini? pisi kali inaweza kuwa kwako kwangu kituko tu!Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
NakaziaTofauti ni kwamba wenye six pac wanapewa bure
Waarusha na wameru ninwadhaifu kwenye mapenziVijana wa mererani wengi wanamiliki mkwanja mrefu. Kutwa wanajiua kwa strees za mapenzi
Upunguze utotoSITAKI KUWA TAJIRI
NATAKA KUFANIKIWA
Punguza ukubwa ili ufanikiweUpunguze utoto