Vijana tafuteni hela sio six packs, mtoto wa Mukesh Ambani anavuta kigoli matata kabisa japo ni tipwatipwa

Waarusha na wameru ninwadhaifu kwenye mapenzi
Hiyo ni dunia nzima. Pesa hazijawahi kuimarisha mapenzi wala kumfanya binadamu akaishi kwa amani na furaha. Rejea Bilget na pesa zake anasumbuliwa na mapenzi. Rejea Dangote anasumbuliwa na mapenzi. Rejea waziri mkuu wa ufaransa. Hata huyo mnene na kabinti karembo atagongewa. Vipi Nick wa 5 na mkewe mrembo?. Nani masanja
 
Kwani yeye katafuta pesa, sema vijana baba zenu watafute pesa, vijana wetu hawana makosa wazazi ndio wenye makosa, hata hapa TZ wazazi wajanja ndio watoto wao wanalamba asali kwa fujo, sio kusema wao wana akili sana na ujuzi la hasha bali baba zao wamecheza keta na ndio wenye mizinga ya asali.
 
Yeye sasa kuweza?
 
Yeye sasa kuweza?
 
Kuna mwenye 6 pack hapo atakula utamu wa bwashee na atahongwa Hela zake,think about it.
 
Akinyoa hizo nywele sura ni PFunk Majani kabisa.
 
Naona matajiri wote wa dunia wasanii wote wameshuka kuhudhuria harusi. Sijui Rihanna naye anaenda kwa ahrusi maana ashatua India.
 
Sasa huyu si atachapiwa na gardener wake huyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…