Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
Imagine Ivanka trump ali enda, Rihanna ka perform kwenye harusi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni dunia nzima. Pesa hazijawahi kuimarisha mapenzi wala kumfanya binadamu akaishi kwa amani na furaha. Rejea Bilget na pesa zake anasumbuliwa na mapenzi. Rejea Dangote anasumbuliwa na mapenzi. Rejea waziri mkuu wa ufaransa. Hata huyo mnene na kabinti karembo atagongewa. Vipi Nick wa 5 na mkewe mrembo?. Nani masanjaWaarusha na wameru ninwadhaifu kwenye mapenzi
Kwani yeye katafuta pesa, sema vijana baba zenu watafute pesa, vijana wetu hawana makosa wazazi ndio wenye makosa, hata hapa TZ wazazi wajanja ndio watoto wao wanalamba asali kwa fujo, sio kusema wao wana akili sana na ujuzi la hasha bali baba zao wamecheza keta na ndio wenye mizinga ya asali.View attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
Yeye sasa kuweza?View attachment 2921369

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]KWA India huyo mwanamke ni Ebitoke
hata huyo anayemuoa kwao ukwasi mtupu.Hapo anayeoa ni mali za familia yake
Akinyoa hizo nywele sura ni PFunk Majani kabisa.View attachment 2921369
Mtoto wa billionea Mukesh Ambani anatarajiwa kufunga ndoa siku chache zijazo, ndoa ambayo itatanguliwa na party ya siku 3 mfululizo. Watu wa karibu, wadau, Celebrities na CEO wanategemewa kuhudhuria nikiwemo mimi, Mark zuck, Bill gates na wengine wengi..
Moral of the story: Vijana tafuteni hela, pisi haziangalii six pack siku hizi, pochi nene ndio dili.
Usimchunge na Houseboy utagongewa chumbani kwako,pochi nene ndio dili
Naona matajiri wote wa dunia wasanii wote wameshuka kuhudhuria harusi. Sijui Rihanna naye anaenda kwa ahrusi maana ashatua India.View attachment 2921369