Sio wa Daslamu huyo wa huko mkoani kama wewe,GDNi nan huyo huko daslamu......
Zipige tobo zitatulia...Tunajitahidi Sana kuzitafuta Seema Kuna Muda zinatupiga Sana chenga
Akili kisoda hiiForex ni Haram sana mkuu hii ndio ilifanya yule muuza mbao ONTARIO kutapeli sana watu humu ndani
Kivp sasa au unataka nikupokee kama ulivyokuja weweAkili kisoda hii