Vijana tambueni na hili katika ajira; Uwezo mdogo nayo huwa ni CV tosha (incompitence) na Afrika Inalipa zaidi kuliko Ubobezi

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Siyo kila mwajiri huwa anahitaji watu nguli katika fani!

Kutokukizi vigezo ni moja ya CV inayoangaliwa zaidi na baadhi ya waajiri hususani nchi za afrika!

Nawakumbusha Vijana wakati mnapojitutumua kupandisha mabea CV mkumbuke pia hata CV mbovu na dhaifu INALIPA ZAIDI!

Hii mada haihusiani na ile mada nyingine niliyowahi kuwaambia humu (" Malaya anayo nafasi kubwa ya kuolewa kuliko bikira")
 
Stress mbaya mno, Kwahy kuwa na cv mbovu inaweza kukupa kazi.? Labla kwa wahindi.
Yani huna uwezo wa kufanya kazi flani halafu hapo hapo upate kazi iliyokuzidi uwezo.?
 
Unashangaa nini
 
Msidanganywe na mtoa maada...ambaye anahitaji sampuli ya CV ya kutoboa uhakika Ani pm ila kiingilio 10000
 
We neng'eneka na kuandaa CV watu wanatafta connection! Interview ushahidi tu watu huingia na majina mfukoni
 
Mkuu Mimi nishaajiriwa na Sasa connection nazipata kwenye kazi...Nina sampuli nzuri ya CV

Imekaa vzr sana
 
Hapo umekubali statment yake kwamba connection ndio kila kitu

Mkuu soon na mm naingia utumishi una ushauri wa kuniambia [emoji3]
 
Karibu Sana mkuu

Nakushauri kutokana na uzoefu Wangu

1.punguza matumizi ya ovyo ya pesa mwaka wa kwanza Mimi nimetumia vby tunaita kutoa ushamba just imagine ndani ya mwaka nimekamata zaidi ya million kumi nje ya mshahara hizo allowance TU ila Bado Sina kiwanja...

2.penda kazi fanya kazi kwa bidii waandikapo madokezo viongozi wako wa msafara watakupenda wakuchukue site kila Mara...

3.epuka kuwasema vibaya maboss zako..

4.kunywa pombe kiasi.

5.zingatia vifaa vya kazi vitunze Sana ndo pesa unapopatia..

6.majungu,kusemwa,kudharahauila hakukwepeki...Time itaamua...

7.penda wanawake...

Nitaendelea kukupa dondoo nyingine...umepata shavu kwenye shirika,wizara au Halmashauri??
 
Ukimaliza hapo unakua malaika, au sio?
 
Asante sana ndugu

Kwenye wizara mkuu

Hapo kwenye wanawake nitapiga sana kufidia uchungu [emoji3]
 
Karibu Sana mkuu

Nakushauri kutokana na uzoefu Wangu

1.punguza matumizi ya ovyo ya pesa mwaka wa kwanza Mimi nimetumia vby tunaita kutoa ushamba just imagine ndani ya mwaka nimekamata zaidi ya million kumi nje ya mshahara hizo allowance TU ila Bado Sina kiwanja...

2.penda kazi fanya kazi kwa bidii waandikapo madokezo viongozi wako wa msafara watakupenda wakuchukue site kila Mara...

3.epuka kuwasema vibaya maboss zako..

4.kunywa pombe kiasi.

5.zingatia vifaa vya kazi vitunze Sana ndo pesa unapopatia..

6.majungu,kusemwa,kudharahauila hakukwepeki...Time itaamua...

7.penda wanawake...

Nitaendelea kukupa dondoo nyingine...umepata shavu kwenye shirika,wizara au Halmashauri??
Du,, no 7 ?

Sent from my itel S33 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom