Unashangaa niniStress mbaya mno, Kwahy kuwa na cv mbovu inaweza kukupa kazi.? Labla kwa wahindi.
Yani huna uwezo wa kufanya kazi flani halafu hapo hapo upate kazi iliyokuzidi uwezo.?
Wasalimie ZimbabweTuliosoma la saba b hii mada haituhusu
We neng'eneka na kuandaa CV watu wanatafta connection! Interview ushahidi tu watu huingia na majina mfukoniMsidanganywe na mtoa maada...ambaye anahitaji sampuli ya CV ya kutoboa uhakika Ani pm ila kiingilio 10000
Una akili sanaNever out shine your master
Mkuu Mimi nishaajiriwa na Sasa connection nazipata kwenye kazi...Nina sampuli nzuri ya CVWe neng'eneka na kuandaa CV watu wanatafta connection! Interview ushahidi tu watu huingia na majina mfukoni
Hapo umekubali statment yake kwamba connection ndio kila kituMkuu Mimi nishaajiriwa na Sasa connection nazipata kwenye kazi...Nina sampuli nzuri ya CV
Imekaa vzr sana
Sasa connection ya nini kama UNA CV nzuri si UTULIEMkuu Mimi nishaajiriwa na Sasa connection nazipata kwenye kazi...Nina sampuli nzuri ya CV
Imekaa vzr sana
Karibu Sana mkuuHapo umekubali statment yake kwamba connection ndio kila kitu
Mkuu soon na mm naingia utumishi una ushauri wa kuniambia [emoji3]
OkSasa connection ya nini kama UNA CV nzuri si UTULIE
Ukimaliza hapo unakua malaika, au sio?Karibu Sana mkuu
Nakushauri kutokana na uzoefu Wangu
1.punguza matumizi ya ovyo ya pesa mwaka wa kwanza Mimi nimetumia vby tunaita kutoa ushamba just imagine ndani ya mwaka nimekamata zaidi ya million kumi nje ya mshahara hizo allowance TU ila Bado Sina kiwanja...
2.penda kazi fanya kazi kwa bidii waandikapo madokezo viongozi wako wa msafara watakupenda wakuchukue site kila Mara...
3.epuka kuwasema vibaya maboss zako..
4.kunywa pombe kiasi.
5.zingatia vifaa vya kazi vitunze Sana ndo pesa unapopatia..
6.majungu,kusemwa,kudharahauila hakukwepeki...Time itaamua...
7.penda wanawake...
Nitaendelea kukupa dondoo nyingine...umepata shavu kwenye shirika,wizara au Halmashauri??
Asante sana nduguKaribu Sana mkuu

Du,, no 7 ?Karibu Sana mkuu