Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Wastaafu wanapoteza sana hela zao za viinuamgongo wakishastaafu, maana hawana uzoefu wowote wa biashara.
"The younger you start, the more successful you'll be".
Kujiajiri ni jambo linalofaa na kama unatengeneza brand nzuri na huduma na bidhaa zenye ubora, utafanikiwa sana miaka 5 tu mbele.
Tukisubiri pensheni ndio iwe mtaji, hatutafika mbali. Pensheni ikutane na biashara iliyosimama.
Mindsets za watanzania zipo katika kuajiriwa zaidi ya kufikiri kujiajiri matokeo yake vijana wamekuwa waoga wa kujiajiri na kufanya biashara.
Neno la hekima kwa wezee wangu wanaokaribia kustaafu yaani ni hivi hela ya kustaafu sio ya uwekezaji, bali ni hela ya kutengeneza mwili huku ukingojea kifo.
Sababu za wazee wastaafu kufa sana kwa presha, na wengine kupata matatizo ya akili ni kuwekeza baada ya kustaafu.