Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #21
Inamaana ukichukua pesa yako na kuingiza shambani sio uwekezaji?Ni kweli mkuu ila ishu ya discipline na patience na perseverance ni kazi kubwa kubwa.
Labda mtu awekeze M-KOBA au Tigo Kibubu wawe wanampa interest kila mwezi au anunue hisa vikoba.
Mkuu inamaana ukiamua kutafuta pesa na kufungua shamba la nyuki na kuanza kuvuna asali na kuuza sio uwekezaji?Kweli ila uwekezaji upi unamaanisha? Maana naona umeegemea kufanya entrepreneurship na sio uwekezaji.
Watanzania wengi hawapo kwenye level ya uwekezaji kwa sababu kuu mbili: Elimu na pia kipato wanachokipata asilimia kubwa inakuwa spent. Ila kama ni kufanya entrepreneurship, inawezekana kwa kipato kidogo mtu akazungusha then at the end of the day anapata profit, anatumia profit + capital kuendelea biashara yake mpaka inakuwa kubwa, inahitaji discipline ya hali ya juu ya kujikana nafsi kwa vijana wenye vipato vidogo.
Mi uwekezaji naoujua na ambao lazima uwe na maokoto ya kutosha ni eidha uwekeze kwenye stocks kupitia brokerage katika Dar Es Salaam stock exchange, ama ukanunue short term bonds UTT alafu unaziacha kwa muda wa miaka 5-10 au ununue long term bonds ila shida ya long term bonds ni monetary policies kubadilika badilika.
So nakuuliza ni uwekezaji gani unamaanisha?
Nini maana ya uwekezaji ( investment) na nini maana ya entrepreneurship?Mkuu inamaana ukiamua kutafuta pesa na kufungua shamba la nyuki na kuanza kuvuna asali na kuuza sio uwekezaji?
Kama inaleta consistent returns ni uwekezaji.Inamaana ukichukua pesa yako na kuingiza shambani sio uwekezaji?
Wewe umemeza notes za darasani mkuu punguza speed kwenye kumeza.Nini maana ya uwekezaji ( investment) na nini maana ya entrepreneurship?
Sijameza., ndo wazungu walivyotufundisha.Wewe umemeza notes za darasani mkuu punguza speed kwenye kumeza.
wamekudanganya, changanya na uhalisia.Sijameza., ndo wazungu walivyotufundisha.
Uwekezaji na biashara ni vitu viwili tofauti.wamekudanganya, changanya na uhalisia.
tuweke pembeni biashara, tuzungumze uwekezaji.Uwekezaji na biashara ni vitu viwili tofauti.
Sasa mzungu anadanganyaje wakati yeye ndo muanzilishi? Muafrika ndo muongo siku zote na siyo ngozi nyeupe.
Kama umenunua shamba ukalima alafu ukauza mazao, hiyo sio uwekezaji ni biashara.
Uwekezaji maana yake unaweka pesa yako kwenye asset ya mtu fulani Ili upate profit, mfano DP-WORLD wamewekeza kwenye bandari ya Dar Es Salaam ambayo ni Mali ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Sio mali ya DP-WORLD ila atapata Faida kutokana na alichowekeza.
Mtoa mada anachanganya Kati ya Uwekezaji na Biashara, alafu anasema nimekariri, kati ya yeye na mimi nani kakariri?
Tatizo Watanzania mnajifanya mnajua kiingereza kumbe hamna kitu. Hamuwafikii hata kwa robo Wakenya.
Si unaona unasema waliwekeza kwenye elimu kwa watoto wao, maana yake sio wao wanasoma ila wameweka pesa zao kwa watoto wao wakiexpect future returns, tunarudi palepale kwenye definition ya investment.tuweke pembeni biashara, tuzungumze uwekezaji.
Tafsiri rahisi ya huku Uswahilini, Uwekezaji ni kitendo cha kufanya jambo litakalo kuja kukufaa baadae, huku ukivumilia na kujizuia sana ili ufikie utakacho. Ndo maana kuna watu waliwekeza kwenye elimu nzuri kwa watoto wao, bila kujali kama wanaweza kufa. Wengine wakanunua mifugo, wengine wakapitia kila bar iliyofunguliwa. hizi za kununua hisa ni ktk ulimwengu wa kisasa, zamani pia watu waliwekeza ktk namna ya ulimwengu ulivyokuwa, mfano; kufanya matendo mema kwa jamii, nao ni uwekezaji kwa miaka ile, pengine hata leo. Kumcha Mungu ni uwekezaji pia.
Ni kweli. Hata hivyo elimu juu ya uwekezaji ni ndogo.Kila eneo ulilopo kuna fursa ya kuwekeza kwa level yako uliyo nayo, cha msingi nia thabiti, nidhamu, subira, kujifunza kila wakati na kufuata taratibu za nchi uliyopo.
Kidogo kidogo tutafika, hata hao USA ni baada ya miaka zaidi ya 180 hivi ndo wakawa hivyo walivyo.Ni kweli. Hata hivyo elimu juu ya uwekezaji ni ndogo.
Sera zetu zinaumiza wawekezaji kwa kiwango kikubwa.Ni kweli. Hata hivyo elimu juu ya uwekezaji ni ndogo.
Kila mara wanadai kufanya mabadiliko ya sera kuendana na nyakati, ama ndo wanatudanganya tu!Sera zetu zinaumiza wawekezaji kwa kiwango kikubwa.
Wachache sana ila ni vizuri sana kwa maana ni akiba nzuriMi naona vijana wa sikuhizi wanawekeza Kwa kununua assets kama nyumba .
Mi naona vijana wa sikuhizi wanawekeza Kwa kununua assets kama nyumba .
Unataka kuaminisha uma ujasiriamali ni Kwa ajili ya watu wa kipato kidogoKweli ila uwekezaji upi unamaanisha? Maana naona umeegemea kufanya entrepreneurship na sio uwekezaji.
Watanzania wengi hawapo kwenye level ya uwekezaji kwa sababu kuu mbili: Elimu na pia kipato wanachokipata asilimia kubwa inakuwa spent. Ila kama ni kufanya entrepreneurship, inawezekana kwa kipato kidogo mtu akazungusha then at the end of the day anapata profit, anatumia profit + capital kuendelea biashara yake mpaka inakuwa kubwa, inahitaji discipline ya hali ya juu ya kujikana nafsi kwa vijana wenye vipato vidogo.
Mi uwekezaji naoujua na ambao lazima uwe na maokoto ya kutosha ni eidha uwekeze kwenye stocks kupitia brokerage katika Dar Es Salaam stock exchange, ama ukanunue short term bonds UTT alafu unaziacha kwa muda wa miaka 5-10 au ununue long term bonds ila shida ya long term bonds ni monetary policies kubadilika badilika.
So nakuuliza ni uwekezaji gani unamaanisha?