Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

Ingawa UKIMWI unaogopeka,amini kwamba kuna magonjwa ambayo ukiyapata leo kutoboa miaka 4 ni kazi sana sana.

Kwamfano upate homa au cancer ya ini, lazima utawahi ahela madukani na utamwacha mwenye ngoma anadunda.
Kweli Mac.
 
Si kweli Mac. Fahamu kuhusu mwili wa binadamu. Reaction haifanani kwa kila mtu.
 
Huenda uko sawa ila kuna miamba inadunda tu mwaka unaisha. Sema waTz hatuna kawaida ya kupima afya, mtu anaweza akawa anadunda na ugonjwa hajijui.
 
Mbona nasikia uvumi kuwa ukimuandaa vizuri nakarowana kweli kweli usipo tumia nguvu nyingi yaani usipompelekea moto huwezi kuupata hata kama anao. Nahitaji ufafanuzi
 
Huwa nasema wakati mwingine ni bahati tu huu ugonjwa unajikuta umeukwepa au muda wako bado haujafika. Wengi wamefanya mistakes lakini bado wakatoka wapo negative.
Kuna jamaa alisababisha mimba kabisa na aliye +ve lakini bado akatoka negative.
Cha msingi ambacho napenda kishauri ni kwamba ,,tuchukue tahadhari kadri iwezekananvyo na huku tukimwomba Mungu atusaidie"

Mtu akiambukizwa ajue anawajibika kubadili mfumo wake wa maisha kama vile tu mwenye kisukari, pressure na magonjwa mengine yanayohitaji kubadili mfumo wa maisha.
Kunywa dawa kila siku isikufanye usononeka kwani ni vitu vingi tu binadamu hupeleka kinywani kila siku bila kuchoka kama chakula, maji nk. Kuna mtu kila siku anakunywa konyagi pamoja na uchungu wote ule.

All in all maisha yaendelee bila kujali umepata virusi au la.
 
Kweli kabisa
 
Si kweli Mac. Fahamu kuhusu mwili wa binadamu. Reaction haifanani kwa kila mtu.
Metabolisms zinaweza kuwa tofauti kwa kila binadamu, lakini haiwezi kutokea mtu akakaa miaka mitano bila kushituka uwepo wa kurudi kwenye mwili wake, tena kama sisi wa mjini na haya mavyakula yetu plus pombe haiwezekani kabisa.

Haiwezekani.
 
Huenda uko sawa ila kuna miamba inadunda tu mwaka unaisha. Sema waTz hatuna kawaida ya kupima afya, mtu anaweza akawa anadunda na ugonjwa hajijui.
Sio kwa hii life style ya Sasa, yani mimi na huu ulevi wangu nipate ngoma alafu nitoboe mwaka mzima? Sidhani.

Unachokisema ni kweli, lakini hiyo itawezekana kwa mtu mwenye afya kweli na ni wachache sana.
 
Metabolisms zinaweza kuwa tofauti kwa kila binadamu, lakini haiwezi kutokea mtu akakaa miaka mitano bila kushituka uwepo wa kurudi kwenye mwili wake, tena kama sisi wa mjini na haya mavyakula yetu plus pombe haiwezekani kabisa.

Haiwezekani.
Okey
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…