Kilenzi _Jr
JF-Expert Member
- Sep 10, 2021
- 301
- 1,110
Ngoja nimsikilizie 😂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ngoja nimsikilizie 😂Akitoa elimu nishitue niko kwa mama mzuu mara moja
Daaah misconception nyingi mkuu muhimu tupime tuHatari gani endapo unaweza ishi navyo miaka mingi? Ukipata ukiwa 30 years mpaka vibadilike kuwa UKIMWI na kukusumbua unakaribia 70 years na hapa ni kwa mtu wa kawaida anayepata mlo kamili, Kama ww ni tajiri ndo kabisaaa 80 years huko ndo utaanza sumbuliwa na magonjwa labda, ambapo hata asiye na UKIMWI at that age anasumbuliwa tu, Ila ukiishi kwa hofu ndipo unaanza kukongoroka na kufa.
Nadhani hakuna hatari yoyote na huenda UKIMWI ulikuwepo kwa miaka mingi kabla ya kugundulika ila fursa ya biashara ilipoonekana ndipo ukafanyiwa marketing duniani na africa ili uwe ugonjwa tishio. Hata vipimo vyake havioni virusi bali vinapima kama mwili unatoa antibodies ndo unaambiwa una virusi.Sure mkuu
kitajiri--unakuwa unaingiza mpini na kutoa kama beki kupiga mpira mbele na kurudisha nyuma tu )Kutom.bana kitajiri ndo kwa namna gani mkuu
Sawa asa kama ni hivo vipimo vinaangalia kama mwili unatoa antibodies Kwanini ufe?Nadhani hakuna hatari yoyote na huenda UKIMWI ulikuwepo kwa miaka mingi kabla ya kugundulika ila fursa ya biashara ilipoonekana ndipo ukafanyiwa marketing duniani na africa ili uwe ugonjwa tishio. Hata vipimo vyake havioni virusi bali vinapima kama mwili unatoa antibodies ndo unaambiwa una virusi.
😂😂😂 Shule kalii hii mkuukitajiri--unakuwa unaingiza mpini na kutoa kama beki kupiga mpira mbele na kurudisha nyuma tu )
kimasikini -kupiga chenga nyingi ndani ya papuchi kama messi akishika mpira.(yaan hii mpini unauingiza unaupindisha kulia kushoto kuta zote unatekenya .
sasa kuna wale tukiingiza kusikia joto tu wazungu haoo ukitoka condom inabaki ndan ya papuchi kaz yake kuitoa .
Ni sawa kupima ila hofu ni mbaya zaidi kuliko huo ugonjwa.Daaah misconception nyingi mkuu muhimu tupime tu
Hapo umenena hofu ndo kitu kibovu Saana yAan kifo dakika 0Ni sawa kupima ila hofu ni mbaya zaidi kuliko huo ugonjwa.
UKIMWI hauui, ni ugonjwa dhaifu sana.Sawa asa kama ni hivo vipimo vinaangalia kama mwili unatoa antibodies Kwanini ufe?
Swali langu je , utaweza kukaa bila kufanya tendo la ndoa Hadi ndoa? Kua mkweliacha niseme hivi, siku hizi unakuta kijana au binti ako na girlfreands au boyfreands kaa 5. sasa kweli ukimupata mara ya kwanza munaweza pima akawa okay, yaani hana virus, lakini akaenda akatongoza au akatongozwa na mwanamume wingine au binti wingine na huyu mume au binti ako na virus, na wakafanya yao, ukapata virus, lakini sababu hakuambii ako na boyfreand au girlfreand wingine si musapima, munaendelea na yenu na huko virus inawapata yote wawili, so hakuna usalama na hata kupima, kubuka hakuna kitu kilichotengenezwa na binadamu huwa 100% okay, so hata hii kitu ya kupima inaweza toa matokeo yasiyokuwa okay, kuna mtu unapima yes unaonekana uko na ukimwi lakini after kupima kwingine hata mara 5 unakutwa huna, so ile ya kwanza machine au chombo cha kupima kilikuwa sio kamili, so ushauri wangu ni huu hapa, usifanye ngono mpaka uoe, untill you marry, na kabla ya kuoa ndio munapima na kaa mko okay, munakaa faithful, yaani hakuna kweda je ya ndoa, hio ndio njia pekee ya kuepuka na ukimwi, hizi zingine ni bahati tu, take care
Dah sure point Saana hiyo kweli kiongozi an ndio kilichopo hichoUKIMWI hauui, ni ugonjwa dhaifu sana.
Kinachoua ni kushindwa kuijenga kinga unayoipoteza kwa kuwa na UKIMWI kisha unapata magonjwa unakufa au kuuishi kwa hofu unaujeruhi moyo na ubongo unakufa.
We hujiulizi kwann kuna watu walikufa na HIV ndani ya 5 years na wengine wapogo tu wengine wanakufa wao wapo tu?
Tufurahie maisha, ni zawadi. Usiishi kwa hofu. Usingeambiwa kuna UKIMWI ungeumwa maleria ukaitibu, ukaumwa mafua ukaitibu, wala usingekuwa na hofu mpaka uzeeni huko.Dah sure point Saana hiyo kweli kiongozi an ndio kilichopo hicho
mkuu imagine unasoma hii thread alafu inaingia sms "baby leo sijisikii vizuri kichwa kinauma sana na mwili umechemka hatar but i mic you honey"[emoji23][emoji23] Unakwama wapi
Ingawa UKIMWI unaogopeka,amini kwamba kuna magonjwa ambayo ukiyapata leo kutoboa miaka 4 ni kazi sana sana.Mtu aliathirika 2006 ila mpaka leo yupo na anadunda tu wakati magonjwa yanayotokana na machips mayai na mafuta mafuta makuku ya kisasa makisukari na presha yanaondoa watu ndani ya 10 years ila mwenye UKIMWI anaonekana kama anakufa kesho.
Unafanya utani na VVU wewe, yani ukae miaka hata miwili bila kushituka?😅Fuatilia Kuna watu wanagundua kuwa wana virusi baada ya 20 yrs na wapo tu. Mtu ana 50 years na inaonekana aliishi navyo kwa 20 yrs bila habari, Hivi virusi nadhani ni dhaifu sana kama huna hofu na unaaccess ya chakula bora ila tunavimarket sababu ni biashara nzuri huko kwa wale walioendelea.
Ukishusha uzi usiache kuni_tagmkuu upo sahihi! hakuna kirus kinakaa ndani ya mwili miezi 3 mwili usipate reaction yoyote nasema hakuna!! Broo nina story hapa ya kwako ni afadhali mara 1000 nitakuja kushuka uzi hapa siku nikikaa poa!! Mimi Mungu kaninusuru tu nimeponea kwenye Tundu la sindano!!! Ahimidiwe Mungu mwenye enzi yote!!
Nina story nzito kidogo!! Ilaa sasa nina miezi 5 naendelea vizur!
Hiyo reaction ya virus ndani ya hiyo miezi 3 inakua sio ya mchezo mchezo..lazima utajua tu hapa hakuna usalama!! Mungu azidi kutunusuru na kutowanyooshea vidole wengine sababu hakuna ajuae kesho yake!! Vijana wengi wanapita sehem hatari
Katika maisha yangu yote sijawahi pima kabisa mdogoangu. Muhimu ilikuwa siwezi kumpitia mtu bila kumpitisha kwenye huo moto. Kuna doctor jamaa yangu,ilikuwa lazima awacheck kabla sijamkaguaDaadeki..........maana yake hujawahi pima bosi mkubwa au sio?? [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787]