Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI upo na bado ni hatari

According to Wazungu all viruses wakiingia mwilini mwako unakuwa na dalili Kali za Mafuta na homa...

Kama Corona..
Sasa mimi sijapata dalili yoyote plus hii CORONA bado natamba tu kwa mwaka mzima, hiyo ngoma gani๐Ÿ˜….

Sema sasahivi hata mwanamke aje amesimama mbele yangu siwezi kumtomba, ile depression niliyopitia kipindi kile ajuaye ni Mungu tu.
 
Kutoboa miaka mitano ukiwa na UKIMWI sio kizembe kama unavyodhani mkuu, sio rahisi kabisa labda sio VVU[emoji28].

Sitaki kabisa kwenda kupima, na miezi 11 ni mingi sana kutoboa bila kuugua ikiwa tayari una maambukizi, kwa namna ambayo huwa nafanya mapenzi sidhani kama mke wangu angetoboa kama ningekuwa na UKIMWI huu ni mwezi wa kumi tangu bumper mimba na kajifungua tu hivi juzi.

Na assume sina UKIMWI. Over
Acha ubishi kapime
 
Daah.. ndomu ni kati ya vitu vya hovyo kabisa kuwahi kugunduliwa na wanasayansi. Yani walishindwa kabisa kupata kitu mbadala ambacho labda mtu atapaka, au hata dawa ya kumeza kuzuia maambukizi? Mimi nikimla mwanamke na ndomu wala hua sihesabu kama nilishatembea nae.
WEwe[emoji32][emoji1][emoji2][emoji2][emoji3][emoji3][emoji11] utakufa mapema sana
 
Kwa hiyo miezi 6 ijayo ni kwa exposure nyingine sio ile ya mwezi wa 5, ile ndio imeisha hivyo ambayo nilimeza PEP.

Wataalamu wengi wanaofanya kazi kwenye masuala ya HIV na hata WHO guidelines zinataka upime baada ya miezi 3 ama siku 90 baada ya exposure kwa ajili ya kujiridhisha tu ila ukweli ni kwamba unaweza kua certain ndani ya wiki chache inategemeana na kipimo ulichotumia ila hivi vya rapid ndio maximum miezi 3.

Watu wengi wana uelewa hafifu kwamba ukimwi unaonekana baada ya miezi 3, huo ni uongo, ukimwi unaonekana ndani ya siku chache sana baada ya maambukizi inategemeana na aina ya kipimo, ila siku 90 ndio guidelines zilizopo za WHO kama confirmatory tu.
Umechezea nyaya za umeme na izo guidlines unazotoa sio 100% zinakuwa na error .Kwa iyo endelea kupima tegemea lolote
 
Hizo guidelines ziko 99.99999% correct. Margin of error hapo ni 0.00001%.

Hakuna kirusi kinaweza kukaa kwenye mwili wa binadamu zaidi ya siku 90 na mwili usi react, hakuna.
Hiyo 0.00001% inabadili kila kitu.Endelea tu kulipa kwa siku 90 sijazo
 
Kwa hiyo miezi 6 ijayo ni kwa exposure nyingine sio ile ya mwezi wa 5, ile ndio imeisha hivyo ambayo nilimeza PEP.

Wataalamu wengi wanaofanya kazi kwenye masuala ya HIV na hata WHO guidelines zinataka upime baada ya miezi 3 ama siku 90 baada ya exposure kwa ajili ya kujiridhisha tu ila ukweli ni kwamba unaweza kua certain ndani ya wiki chache inategemeana na kipimo ulichotumia ila hivi vya rapid ndio maximum miezi 3.

Watu wengi wana uelewa hafifu kwamba ukimwi unaonekana baada ya miezi 3, huo ni uongo, ukimwi unaonekana ndani ya siku chache sana baada ya maambukizi inategemeana na aina ya kipimo, ila siku 90 ndio guidelines zilizopo za WHO kama confirmatory tu.
Moto ni wiki mbili tu since contacting it kipimo itaonesha so miez mitatu ni kujiridhisha tu.
Niliponea chupuchupu na nilikua PEP sababu ya hofu tu japo wataalam walinihakikishia kutokana na mazingira niliyokua nayo kuwa niko salama kabisa.(PEP ni uchizi ule aisee,Mungu aniepushe na tamaa nisjeipita ile njia).
NB:Elimu zaidi kuhusu ukimwi inahitajika maeneo mbalimbali.kuna misconceptions nyingi sana kuhusu huu ugonjwa
 
Back
Top Bottom