Lorenzo Samike
JF-Expert Member
- Jun 18, 2021
- 1,187
- 1,914
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaha..huwa unajipa miezi mingapi?Yaani wewe kama Mimi huwa najipa miezi,nikiona Niko poa najua niko sawa
Nenda kapime mkuu. Virusi vinaweza kukaa mwilini hata miaka 5 bila kuonyesha dalili maana unakuta bado mwili unapambana navyo ila kinga ya mwili ikizidiwa ndio utaanza kuona matokeo yake live. Kapime uwe na uhakika.Mwaka jana mwezi wa 10 nilichapa mwanamke mmoja hiviwa mtaani, baadae nikaja kushituka nilivyoona analiwa na jamaa yangu mmoja hivi ambaye ameathirika zamani sana (miaka ya 2006).
Nilipofatilia nikaambiwa kuwa hata huyo mwanamke ni muathirika kitambo tu, aiseeeh nilikosa amani kwa zaidi ya wiki moja na baadae nikaamua kuwa sitakwenda kupima mpaka pale nitakapozidiwa kwa ugonjwa wowote ule.
Sasa ni mwezi wa 9, na imepita 11 tangu nifanye nae mapenzi bila kuugua chochote najua sina UKIMWI, ila kuanzia siku hiyo nimekuwa mtu makini sana kwenye maswala ya mapenzi.
UKIMWI UPO NA UNAUA, tena sikuizi nadhani Kati ya watu kumi mmoja anakuwa nao.
Tiketi ya kitu gani mkuu?Ungejiandikishia tiket
6hahaha..huwa unajipa miezi mingapi?
Kutoboa miaka mitano ukiwa na UKIMWI sio kizembe kama unavyodhani mkuu, sio rahisi kabisa labda sio VVU😅.Nenda kapime mkuu. Virusi vinaweza kukaa mwilini hata miaka 5 bila kuonyesha dalili maana unakuta bado mwili unapambana navyo ila kinga ya mwili ikizidiwa ndio utaanza kuona matokeo yake live. Kapime uwe na uhakika.
Kikubwa ni kuongeza umakini pia. Hakikisha kabla hujamla mtu kavu angalau umpime lakini pia usikamie shoo, tombana kutajiri.
Simple tu, ukiona unaugua kila mara ndio unachukua hatua za kwenda kupima.Yaani wewe kama Mimi huwa najipa miezi,nikiona Niko poa najua niko sawa
ukiona kimya unajua mambo poa
Simple tu, ukiona unaugua kila mara ndio unachukua hatua za kwenda kupima.
Kuna jamaa huko Anadai eti ukiwa na UKIMWI unaeza toboa hata miaka mitano bila kuhisi chochote, aiseeh ni ngumu sana.
Ila ngoma ukiipata kama ni ngumu sana basi ni miezi sita tu unaanza kuwa hoi,kuna fundi mmoja hivi alitembea na mwanamke mwenye UKIMWI alifariki mwaka huohuo kutokana na kuchelewa kuanza dozi.
Upo sahihi!! huwezi toboa miaka 5 bila dalili yoyote hakuna! tusidanganyane kwa afya gani au chakula gani tunachokula kama ni hizi hizi wali nyama, chips mayai ngumu kutoboa e.tc Ndani ya Miezi 3 ukiona ume sheki alafu huelewi matatizo yanakuja mlundikano jua kuna walakini!Simple tu, ukiona unaugua kila mara ndio unachukua hatua za kwenda kupima.
Kuna jamaa huko Anadai eti ukiwa na UKIMWI unaeza toboa hata miaka mitano bila kuhisi chochote, aiseeh ni ngumu sana.
Ila ngoma ukiipata kama ni ngumu sana basi ni miezi sita tu unaanza kuwa hoi,kuna fundi mmoja hivi alitembea na mwanamke mwenye UKIMWI alifariki mwaka huohuo kutokana na kuchelewa kuanza dozi.
Hahahahah kikiingia tu ni mapema sana utapata majibu kama skin rash na vimafua vya hapa na pale. Wala huna haja ya kusubiria miezi yote hio mzee baba na uchovu wa kushato.Guidelines zilizopo zinataka upime baada ya miezi 3 kama tu kujihakikishia kama uko salama ama lah ila kama ni maambukizi unayapata ama yanaonekana ndani ya siku chache sana.
Hakuna kirusi kinaweza kukaa mwilini zaidi ya miezi 3 mwili usi react, hakuna.
Pole,acha zinaa na endelea kumtumainia Mungu ili akulinde,kwani shetani halali,ataendelea kukuingiza majaribuni na ukizubaa utajikuta umeingia mkenge mwingine,na huo unaweza kuwa ni mbaya zaidi kwako kuliko huo wa kwanza...Naomba kuwaasa vijana wenzangu tuendelee kuchukua tahadhari, UKIMWI bado upo na ni hatari.
Miezi 4 iliyopita nilifanya ujinga nikalala na mwanamke bila kutumia condom ama bila kumfanyia vipimo vya kiafya kujua hali yake, baada ya ngono tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu alikua na maambukizi.
Huyo mwanamke nilikua nimefanya nae ngono mara mbili ila kwa time interval ya mwezi mmoja, hii mara ya pili ndio tukafanya vipimo na ikagundulika mwenzangu hakua mzima na wakamuanzishia dozi na mimi nikaanza kumeza PEP. Nashukuru baada ya miezi 4 niko salama.
Vijana tuendelee kuchukua tahadhari, ukimwi ni hatari na unaweza kuzima ndoto zako kwa starehe ya siku ama sekunde chache. Tuendelee kuchukua tahadhari hadi pale chanjo ya ukimwi itakapopatikana. Nilisikia wakubwa wa Dunia wameazimia kufikia 2030 wawe wametokomeza ukimwi, ndio unasikia ujio wa chanjo na labda wataleta dawa sio muda mrefu ila for the mean time tuendelee kujilinda.
View attachment 1930729
alafu sio vimafua..ni mafua yale ya kuleta homa kabisa!! sio haya mafua ya aleji yanayoletwa na feni au AC!!Hahahahah kikiingia tu ni mapema sana utapata majibu kama skin rash na vimafua vya hapa na pale. Wala huna haja ya kusubiria miezi yote hio mzee baba na uchovu wa kushato.
Hahahahahah inapendeza hii! Vijana mcongo unawamaliza! Kula maku kistaarabuNenda kapime mkuu. Virusi vinaweza kukaa mwilini hata miaka 5 bila kuonyesha dalili maana unakuta bado mwili unapambana navyo ila kinga ya mwili ikizidiwa ndio utaanza kuona matokeo yake live. Kapime uwe na uhakika.
Kikubwa ni kuongeza umakini pia. Hakikisha kabla hujamla mtu kavu angalau umpime lakini pia usikamie shoo, tombana kutajiri.
Sio kizembe hivyo....sikufanya nae kavu nilitumia ndomu, ila nilivyokuja kuona anatoka na jamaa mwenye ngoma niliogopa sana kwakuhisi labda naweza kuwa nimeupata kupitia hata kissing ila baaada ya kutoboa mwaka mmoja bila hata kaugonjwa sioni huo uwezekano wakua ninao😅.Kama sio FUTUHI, wewe ni jinga sana yaani… hapo tayari mdudu keshaingia kwenye embe.
Mkuu, siendi kupima.Kutoboa mwaka mzima bila kuugua chochote ni kipimo tosha kwangu.😅😅😅😅😃😃kapime ww
Hahahahah kikiingia tu ni mapema sana utapata majibu kama skin rash na vimafua vya hapa na pale. Wala huna haja ya kusubiria miezi yote hio mzee baba na uchovu wa kushato.
Sio kizembe hivyo....sikufanya nae kavu nilitumia ndomu, ila nilikua kuona anatoka na jamaa mwenye ngoma niliogopa sana kwakuhisi labda naweza kuwa nimeupata kupitia hata kissing ila baaada ya kutoboa mwaka mmoja bila hata kaugonjwa sioni huo Yawezekana wakua ninao😅.
NB; Tuambiae ukweli hapa, ukiukwaa UKIMWI leo hii kutoboa mwaka mmoja bila kuugua ni kiazi sana, na kwanza haiwezekani kabisa.
Ndugu yangu... Bora usipime, ukiwa nao upime usipime ni sawa tuMkuu, siendi kupima.Kutoboa mwaka mzima bila kuugua chochote ni kipimo tosha kwangu.😅😅😅😅