Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Bongo zozo anawaingiza king wazungu wana siri zao, hiyo forex anatrade saa ngapi na muda mwingi yupo kwenye misele maeneo mbalimbali?Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Sio kweli, Tuache kutafuta sababu.Kuna namna broker wanafanya kuzikula hela zako
https://t.me/DTTfx
Una uhakika ama hujakutana na people making it through forex...sio kila mtu he is high profile wengine wako low profile and they are making it
Miaka mingi Mwl.RCT huwa nakuheshimu sana. Mungu aendelee kukubariki sana sana sana. Ni mtu asie na mihemko kwenye kujibu hoja na pia huwa umejikita kwenye ukweli. Kwa wasiofahamu biashara hii wanaweza kubeza Ila tunaofanya biashara hizi tunaelewa kile umenena. Heshima yako mkuu.Sio kweli, Tuache kutafuta sababu.
Adui mkubwa katika forex ni wewe mwenyewe, Utakapofikia hatua ya kuuukubali huu msemo, basi ndio mwanzo wa wewe kuwa profitable trader, Hii ina maana kuwa katika biashara yeyote ile adui namba moja wa biashara husika ni mfanya biashara husika.
Trades nilizofungia siku Jana. xxxJPY
View attachment 2032397
Fungua Chart yako na hakiki hii live trade, hiyo hapo juu.
View attachment 2032400
Wakati GJ inaendelea nilirekodi hii video
Nikafunga siku kwa hii 81%
View attachment 2032405
Hakiki entries za trades zangu za jana zote kwenye Telegram Channel yangu:
Code:https://t.me/DTTfx
Faida na Hasara ipo kwenye kila aina ya biashara! Ni jukumu lako kupambana ili utoke kwenye Hasara ZONE.
Yule ameinvest kwenye Bitcoin. Na asije akafanya kosa la kujaribu kuhamasisha vijana waingie kwenye hiyo ishu hata kama inalipa. Hii nchi raia wake wana vichwa vigumu kama mawe. NO OFFENSE.Kuna yule mhamasishaji na shabiki wa taifa stars alihojiwa siku moja kwenye tivii anawezaje kugharamia kusafiri kila sehemu taifa stars inapocheza akajibu ametrade sana japo hapendi hamasisha vijana.
So inaweza isikulipe wewe lakini kuna watu imewanufaisha.
Kwanini mkisia neno "TRADE" akili inawapeleka kwenye FOREX?!Bongo zozo anawaingiza king wazungu wana siri zao, hiyo forex anatrade saa ngapi na muda mwingi yupo kwenye misele maeneo mbalimbali?
Tena yeye amesema yupo kwenye Bitcoin lakini ni longolongo utakuta mwenzio anakula urithi alioacha Babu yake.
Nipe link na vitabu ambavyo vimeelezea ICT StrategyJana usiku wa manane nimeota kuwa kuna watu wameambiwa kuwa udaktari unalipa sana, basi wakaenda kwenye mitandao na google kujifunza udaktari kwa wiki moja kisha wakaanza kufanyia watu upasuaji wa moyo na ubongo.
Kwenye hiyo ndoto nimeona maelfu ya wagonjwa wakifa baada ya kufanyiwa operation hizo za elimu ya kulipua na hao madokta wakifa kwa stress pia.
Mimi nimeota ui engineer unalipaJana usiku wa manane nimeota kuwa kuna watu wameambiwa kuwa udaktari unalipa sana, basi wakaenda kwenye mitandao na google kujifunza udaktari kwa wiki moja kisha wakaanza kufanyia watu upasuaji wa moyo na ubongo.
Kwenye hiyo ndoto nimeona maelfu ya wagonjwa wakifa baada ya kufanyiwa operation hizo za elimu ya kulipua na hao madokta wakifa kwa stress pia.
PoleBora ukabet mpira ila sio Forex huko, kuna master wangu wa mambo ya mitandao ana make money sana online ila aliponiambia hivo bora ukabet mpira, sikutaka tena hata kujua folex ni kitu gan kabisa.
Hakuna kitabu kinachoelezea ICT strategy.Njia pekee ya kujifunza ICT ni uende kwenye magroup ya Telegram yaliyovujisha video za mentorship pamoja na video nyingine za ICT kisha uzidownload na kuanza kuziangalia.Nipe link na vitabu ambavyo vimeelezea ICT Strategy
Mtoa mada forex waachie wengine, hata Somola hesabu darasani liliwashinda watu je na hilo Somo hesabu ni kamari?
S/R, TL, Indicators,RobotHesabu si kamali linakua na jibu na nji zza hesabu ziko bayana ushindwe wewe!! Sasa forex haina njia za uhakika apo apo unaambiwa muda wwote inaweza kubadilisha ulekeo bila hata indication!!!