Palina ndoa ni nzuri ikifuata mifumo ya kizamani ila kwa sasa nikuviziana tuBasi mi nitakuja saini hio paoer asee
Kila mtu akusanye mali zake
Wanaume oia waga ni washenzi tu, akiona unavisenti anajishaua anataka kukuoa anakwambiabumchukulie mkopo akimaliza nyumba ndo muoane[emoji23][emoji23][emoji23]
Haya akimaliza anaoa mwngine
Yaan hii ishu ya mali mtu yyte anaeza akageuka sio mwanaume au mwanamke
So ukijua una manei kuzid mwenzi wako heri usaini hii pepa
Mghosingwa wewe na Ronaldo wapi na wapi,kama huyo ndo roll model wako mpaka sasa umefikisha billion ngapi ili uendane nae?Ishi nae tu kama mwana .
Ronaldo trionea na hana huu utumbo wa ndoa
Mkuu kama umefunga ndoa na mwanamke mwema ni ww , watu wanaishi na wanawake ila kufunga ndoa big no [emoji107]Ushamaliza fantasy za kiume sasa umebaki kupigwa mashine ndio maana unakataa ndoa.
KWA PAMOJA WANAUME WOTE TUUNGANE KWENYE KAMPENI YA
Kataa Ndoa
Ndoa Ni Utapeli
Kataa Ndoa
Ndoa ni Usanii
Kataa Ndoa
Ndoa ni Wizi
Basi awe kma mimi tu naishi na mwanamke ila bila ndoa , ndoa ni kitanzi ndo maana ukishafunga wao ndo wanaficha vyeti kama ngao zao ,chunguza.Mghosingwa wewe na Ronaldo wapi na wapi,kama huyo ndo roll model wako mpaka sasa umefikisha billion ngapi ili uendane nae?
Kweli tunatofautiana, me ndoa ndio imenifanya nitafte kwa bidii sababu ya majukumu, pia nashkuru nilipata mwanamke mchamungu sana na nmebadilika sana kutoka kua msela. Mnawaokotaga wapi mizoga yenu hiyo?Mkuu kama unatafuta pesa kwa bidii epuka kufunga ndoa , ndoa inawanufaisha wanaume mario tu kula kulala, ishi nae kibshi tumia akili alileta mambo za ndoa
Palina umeji expose una visenti, tegemea usumbufu PM ila wachuje, wanao support kuto kuoa wale block maana watakukula tu wasepe ππBasi mi nitakuja saini hio paoer asee
Kila mtu akusanye mali zake
Wanaume oia waga ni washenzi tu, akiona unavisenti anajishaua anataka kukuoa anakwambiabumchukulie mkopo akimaliza nyumba ndo muoaneπππ
Haya akimaliza anaoa mwngine
Yaan hii ishu ya mali mtu yyte anaeza akageuka sio mwanaume au mwanamke
So ukijua una manei kuzid mwenzi wako heri usaini hii pepa
Mkuu tatizo wanawake wabaya wa sura na umbo ndo wacha mungu ukitoa mke wako , kwa hyo nioe mwanamke mbaya kisa ni mwema mkuu sahau hiyoKweli tunatofautiana, me ndoa ndio imenifanya nitafte kwa bidii sababu ya majukumu, pia nashkuru nilipata mwanamke mchamungu sana na nmebadilika sana kutoka kua msela. Mnawaokotaga wapi mizoga yenu hiyo?
Badala ya campain ya kataa ndoa, mtu aanzishe namna ya kuchagua wife material! Hapa tunafeli wengi sanaa mpaka kuchukia ndoa, inaonekana unapenda ma slay queen wanawake wa kuoa wapo tele!
Mimi nina ndoa ya miaka kumi hunifundishi kitu kuhusu ndoa!!!Basi awe kma mimi tu naishi na mwanamke ila bila ndoa , ndoa ni kitanzi ndo maana ukishafunga wao ndo wanaficha vyeti kama ngao zao ,chunguza.
Acha kumwekea maneno mdomoni mtoto palina[emoji16]Palina umeji expose una visenti, tegemea usumbufu PM ila wachuje, wanao support kuto kuoa wale block maana watakukula tu wasepe [emoji16][emoji16]
Sawa mkuu ila kondoo ni wachache mno mbwa mwtu ni wengi , ila pia safari yako bado usitukane mamba wakati bado haujavuka mto .Mimi nina ndoa ya miaka kumi hunifundishi kitu kuhusu ndoa!!!
Hawa madogo ningewaona wana point kama wangekuwa wanahamasisha kuepuka wanawake wanaharakati "feminist" ,hawa waliopita pita vyuo maana huwa tayari na experience za mahusiano ya mke na mume maana huwa wanaishi hivyo hostel so wawe wanaowa may be form four au six hata la saba bora awe na heshima lakini bado hawa madogo wanataka hao wake zao waajiriwe waweke hela mezani jambo ambalo ni gumu
Hahahaa mkuu unakaza sana fuvu, niamini wanawake wazuri na wachamungu wako wengi sanaa. Tatizo wee madem unaopoa elements na liquid! Alaf ukiona kizuri ujue kimeundwa! Hao unaowaona wazuri ni mwanaume mwenzio kagharamia sanaa kwanzia wig mpaka g string! So na wewe unaweza ukampendezesha wife akawa kisu mnooMkuu tatizo wanawake wabaya wa sura na umbo ndo wacha mungu ukitoa mke wako , kwa hyo nioe mwanamke mbaya kisa ni mwema mkuu sahau hiyo
Duuuh! π π πUshamaliza fantasy za kiume sasa umebaki kupigwa mashine ndio maana unakataa ndoa.
Sawa mkuu nitampendezesha ila sitamuoa kwa ndoa mpka nihakikishe tumefika miaka 90 amechakaa hana nguvu za kupiga mdomo ustawi wa jamiiHahahaa mkuu unakaza sana fuvu, niamini wanawake wazuri na wachamungu wako wengi sanaa. Tatizo wee madem unaopoa elements na liquid! Alaf ukiona kizuri ujue kimeundwa! Hao unaowaona wazuri ni mwanaume mwenzio kagharamia sanaa kwanzia wig mpaka g string! So na wewe unaweza ukampendezesha wife akawa kisu mnoo
π€£ Sasa kama unajua ukimkataa mtagawana kwanini usiweke mali zako kwa majina ya ndugu zako ambao hawatakuzulumu.Una mtemaje wakati hukukataa ndoa , mkuu tunakataa ndoa na sio kuishi na mwanamke , ukiwa na cheti mkuu utazinguliwa na ukimtema unarudi zero
Hahahah mwanamke gani utakaemla mpaka miaka 90 bila ndoa.Sawa mkuu nitampendezesha ila sitamuoa kwa ndoa mpka nihakikishe tumefika miaka 90 amechakaa hana nguvu za kupiga mdomo ustawi wa jamii
π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ π€£ Oweni warembo ili muwe mnatombewa na masela. Siku ukigundua mkeo analiwa na dereva wa bajaji sidhani hata utakaa ukumbuke huo uzuri wake.Mkuu tatizo wanawake wabaya wa sura na umbo ndo wacha mungu ukitoa mke wako , kwa hyo nioe mwanamke mbaya kisa ni mwema mkuu sahau hiyo