Vijana Tukatae ndoa

Habari za usiku.

Ndoa ni utumwa.

Ndoa ni umasikini.

Ndoa ni source ya mafarakano

Ndoa ina leta chuki.

Ndoa ni ubinafsi.

Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
Mnataka kizazi cha kugeukiana?
Jamii ya upinde?
Movement yenu ni ya Kishetani.

BIblia inasisitiza ndoa tangu mwanzo kuwa mtu mke ataachana na wazazi na kuungana na mume wake.
Ninyi mnapinga ndoa.

Maana yake ni hii;
1. Watu wasizae tena au
2. Wazae mtoto alelewe na mzazi mmoja
3. Mnahamasisisha kuingiliana kwa jinsia moja.

Tabia ya kishetani
 
Alafu nahis kuna watu wachache wenye id nyingi tofauti wanaleta hizi mambo kataa ndoa na mambo ya upinde..JF mbona imekosa mashiko hivi siku hizi duuh

Tuseme ukweli siku hizi kukuta mada nzuri imekua adimu mwingine analalamika kapigwa mabumbu na muke yake ya miaka 19 huko 😁😁 bloody fool!

Tunaomba ma admin muanze operation ya ku merge accounts tena, wanatuchosha au hamuoni???
 
Tunaheshim maoni ya kila mtu.

Kukaa ndoa kisa mkiachana mali zitagawanwa ni dalili ya ubinafsi ndan ya mtu. Kuolewa kiminyato ili baada ya mwaka muachane ili mgawane mali ni kukosa akili.

Ndoa haihitaj ukurupukaj, ukirupuka utapata wafany deals.

Ndoa inachangamoto zake japo faida ni nying sana. Fanya research kabla ya kuoa ili upate mwanamke sahih.

Ugawanaji wa mali isiwe kichaka cha zinaa,utokuja kusikia kuna magonjwa ya tendo la ndoa bali utaskia magonjwa ya zinaa. Sio kwamba walioko kweny ndoa hawapat hayo magonjwa bali ni kwa asilimia chache sana na weng ni wale walioingia kweny ndoa mguu sawa mguu pande. Ndoa inafaida nying kwa watu wenye akili timamu.

Ni haki mwanamke kupewa sehem ya mali zako sababu mda wake aliutumia kwako.Mda ni kitu cha thaman sana.Uislam unasema mwanamke alipwe kwa kukulea wew na watoto wako japo sina uhakika sana mwenye elim ya dini watakuja kunirekebisha kama nmekosea.

Wew unatak ukae na mwanamke awe mama wa nyumban for 10 years alaf uje umuache akaanze upya maisha [emoji23][emoji23][emoji23],hiv ni kweli hana mchango wowote kweny hio hatua umefikia.

Watu wao ndoa inafaida nying kuliko hasara. Pia hakuna sheria ya kugawana mali nusu kwa nusu bali kuna utaratibu tofaut na isemavyo.
 
Sasa unaniunga mkono au Hauniungi
 
Watakuwa wamekuelewa sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…