Vijana Tukatae ndoa

Vijana Tukatae ndoa

Wenzetu wana sheria inaitwa "Prenuptial agreement" au prenup. Mnakubaliana kuoana na siku mkiachana kunakuwa hamna mgao wa mali. Tunaviziana sana kwenye ndoa hizi.
Ndoa kwa Vijana wa sasa..

Risk zimekuwa kubwa kuliko uhalisia.

Wazazi wetu walikuwa ni Rahisi kuvumiliana kwenye kila upside down.

Ila sio hawa wa sasa
 
Japo simuungi mkono mleta mada kwa 100%, kuna huu upuuzi kwenye ndoa mkitofautiana tu mke anakimbilia ustawi wa jamii, huko wanakupangia kila mwezi uwe unatoa KIASI kadhaa kwa kila mtoto.

HUU NI UPUUZI MKUBWA SANA KWA HAWA DADA ZETU. Yaani swala la kuoa kwa miaka hii ni la kufikiria mara 2 2, na usiombe mke wako akapata "WAALIMU wa KUM-PUMP"
 
Back
Top Bottom