Vijana Tukatae ndoa

Vijana Tukatae ndoa

Hii movement soon itapata nguvu na madhara yatakuwa makubwa sana hasa kwa wanawake!

Inapata nguvu kwa jinsi mitandao inavyojifanya inajua kuwahisha taarifa za matukio negative ya kuuana, kushtakiana na kudhuru kwenye ndoa, vijana wengi wataziba masikio mwisho wafungua na kusikia hizi kelele za hawa jamaa
 
Japo simuungi mkono mleta mada kwa 100%, kuna huu upuuzi kwenye ndoa mkitofautiana tu mke anakimbilia ustawi wa jamii, huko wanakupangia kila mwezi uwe unatoa KIASI kadhaa kwa kila mtoto.

HUU NI UPUUZI MKUBWA SANA KWA HAWA DADA ZETU. Yaani swala la kuoa kwa miaka hii ni la kufikiria mara 2 2, na usiombe mke wako akapata "WAALIMU wa KUM-PUMP"
Sasa ndugu family yako atailea nani?
 
Mwanaume unatakiwa kuwa strong tumia akili Mungu amekuweka wewe kuwa kichwa acha kulialia tumia akjili sasa wewe mwanaume ukilia mwanamke afanyeje si ndio atagalagala kabisa use your common sense to solve and face any kind of environment na sio kukimbia matatizi mwanadamu umeumbwa ili kupambana na mazingira.
 
Niliweke sawa hili kampeni ya kataa ndoa , inahusu kufunga ndoa kisheria , hasa hizi ndoa za mpka kifo kitutenganishe , ishi na mwanamke bila kufunga ndoa, mzalishe mpaka achakae ukifika miaka sabini ndo ufunge ndoa kama ushaidi ,ila uhakikishe ameshachoka mno ,sheria za ndoa zinambana mwanaume zaidi , haki sawa haina usawa wowote linapokuja swala la kugawana Mali baada ya talaka , kumbuka huko tunapoenda watoto wa ma single mother ndo wanakua wakubwa je hawa utafunga nao ndoa kisheria ikadumu wakati hawa hawajui umuhimu wa baba na pia wamelishwa sumu na mama zao wanaume wote ni mbwa ? Bilgate asingekua amefunga ndoa utajiri wake usingeporomoka kiasi kile , wanawake wametanguliza pesa kuliko utu na kwenye maisha kupanda na kushuka hii kanuni haijawahi badilika , katika mazingira kama hayo je ndoa sio mwiba kwa mwanaume?
 
Sheria za ndoa huwa ni kali mno kwa upende wa me chukka mke ishi nae akigusia ndoa piga chenga hiyo ndo akili ya kiume
 
Niliweke sawa hili kampeni ya kataa ndoa , inahusu kufunga ndoa kisheria , hasa hizi ndoa za mpka kifo kitutenganishe , ishi na mwanamke bila kufunga ndoa, mzalishe mpaka achakae ukifika miaka sabini ndo ufunge ndoa kama ushaidi ,ila uhakikishe ameshachoka mno ,sheria za ndoa zinambana mwanaume zaidi , haki sawa haina usawa wowote linapokuja swala la kugawana Mali baada ya talaka , kumbuka huko tunapoenda watoto wa ma single mother ndo wanakua wakubwa je hawa utafunga nao ndoa kisheria ikadumu wakati hawa hawajui umuhimu wa baba na pia wamelishwa sumu na mama zao wanaume wote ni mbwa ? Bilgate asingekua amefunga ndoa utajiri wake usingeporomoka kiasi kile , wanawake wametanguliza pesa kuliko utu na kwenye maisha kupanda na kushuka hii kanuni haijawahi badilika , katika mazingira kama hayo je ndoa sio mwiba kwa mwanaume?
Achakae 😃😃😃 yaani achakae u r not serious at all
 
Back
Top Bottom