min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 23,322
- 64,738
Nafahamu ila sheria haiwezi kuwa na makali mbele yako kwa sababu hauna mkataba .Unafahamu kuwa ukiishi na mwanamke kwa kipindi fulani hata kama hujafunga nae ndoa huyo ni mkeo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nafahamu ila sheria haiwezi kuwa na makali mbele yako kwa sababu hauna mkataba .Unafahamu kuwa ukiishi na mwanamke kwa kipindi fulani hata kama hujafunga nae ndoa huyo ni mkeo.
Bora umuulize khaaah.Hakuna unachokijua.
Nionyeshe facts za kukataa ndoa zenye uhusiano na Ushoga.
Au umekurupuka na wewe
Tanzania ukiishi na mwanamke miaka miwili au mitatu anatambulika kama mkeo na siku mkitemana ana haki zote kama mke, bora kuishi mwenyewe.Ishi nae tu kama mwana .
Ronaldo trionea na hana huu utumbo wa ndoa
Kataa sheria za ndoa siyo ndoa, sheria zilizopo zinampendelea sana mwanamke na kumgandamiza mwanaume. Ndoa inamtofautisha binadamu na mnyama ambapo jike liko huru kupandwa na dume lolote na kuzaa hata na madume zaidi ya mmoja. Tatizo ni sheria za wazungu mabeberu ktk ndoa turudi ktk mila zetu au dini torati na Quran, ndoa zitakuwa salamA salmini, siyo sasa ndoa biashara.Habari za usiku.
Ndoa ni utumwa.
Ndoa ni umasikini.
Ndoa ni source ya mafarakano
Ndoa ina leta chuki.
Ndoa ni ubinafsi.
Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
We ni Lishoga?Habari za usiku.
Ndoa ni utumwa.
Ndoa ni umasikini.
Ndoa ni source ya mafarakano
Ndoa ina leta chuki.
Ndoa ni ubinafsi.
Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
🤣🤣🤣🤐We ni Lishoga?
Majinga sana haya mamtu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji850]
Mungu awatetee aiseeMajinga sana haya mamtu