Vijana Tukatae ndoa

Vijana Tukatae ndoa

Unafahamu kuwa ukiishi na mwanamke kwa kipindi fulani hata kama hujafunga nae ndoa huyo ni mkeo.
Nafahamu ila sheria haiwezi kuwa na makali mbele yako kwa sababu hauna mkataba .
 
Habari za usiku.

Ndoa ni utumwa.

Ndoa ni umasikini.

Ndoa ni source ya mafarakano

Ndoa ina leta chuki.

Ndoa ni ubinafsi.

Sijaona na sioni umuhimu wa ndoa.
Kijana KATAA NDOA
FANYA MAISHA
Kataa sheria za ndoa siyo ndoa, sheria zilizopo zinampendelea sana mwanamke na kumgandamiza mwanaume. Ndoa inamtofautisha binadamu na mnyama ambapo jike liko huru kupandwa na dume lolote na kuzaa hata na madume zaidi ya mmoja. Tatizo ni sheria za wazungu mabeberu ktk ndoa turudi ktk mila zetu au dini torati na Quran, ndoa zitakuwa salamA salmini, siyo sasa ndoa biashara.
 
Back
Top Bottom