Vijana tunadharaulika sana, tufanye nini ili kujikwamua na madharau hayo ya viongozi wetu?

Ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

Hivi juzi mh.Spika Job Ndugai amesema vijana hawaaminiki tena kwani ni wezi. Sijaelewa kama ametumia njia gani kubaini wizi huo wa vijana.

Atakua anayo matukio yaliyomsukuma akasema maneno hayo.
Mimi nitakua tofauti kidogo na kiranja huyo wa mhimili.
Katika uhai wangu mara kadhaa kila ulipotokea ufisadi wamekua wakitajwa sana wazee. Uzoefu huo ninauchukulia kuanzia DOWANS, KAGODA, EPA, ESCRO NA SASA RIPOTI HII MPYA YA CAG.

Ninaona kama vijana wamesakamwa kwa jambo ambalo haliwahusu sana. Wanaozidi kuitia nchi HASARA, UMASKINI NA AIBU KWA WIZI SIO VIJANA

Kwa upande wa pili yule mbunge Lugangira hajatupa uzoefu kwamba kati ya hata wazee kumi ni wangapi hawana hizo nguvu na akalinganisha na vijana kwamba kati ya vijana kumi labda wasiona nguvu ni wangapi.

Waheshimiwa hao wasitumie majukwaa vibaya
 
Huyo neema ni mjasiria mwili aliezamia siasa kujikomboa,ukimsoma tweeter ni mweupe kichwani
 
Hata hivyo mama amelikumbusha bunge kuangalia maslahi mapana ya taifa na sio kujadili masuala yasiyogusa maisha ya wananchi.
Hongera sana mama Mungu aliyekupandisha daraja,azidi kukupa ubora kwenye nafasi yako
 
Back
Top Bottom