Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
akili zinachotwa mkuu ubunifu unatoka wapi wakati unaishi kwa matumaini?Halafu huwezi sikia dogo katajirika ana biashara kubwa kisa kamari
Hawana ubunifu kabisa
Wanaamini watakuwa mamilionea kwa dk 1Betting imekua ni chakula kwa vijana, yaan hadi watoto wa sec wanabett,
Hatarii kabisa
Ugonjwa wa gas Ni upi?Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.
Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
gesi hii inayosabbisha vidpnda vya tumboUgonjwa wa gas Ni upi?
Sativa anaishi kwa kubeti na ni milionea. Maisha ni kujifunza na kubobea, be a Master of the gameInshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.
Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
acha upuuzi.Sativa anaishi kwa kubeti na ni milionea. Maisha ni kujifunza na kubobea, be a Master of the game