Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
- Thread starter
- #21
sinawaj kunywa.Mtoa mada na wewe tukushauri,bia na ngoño ni hatari Kwa afya Yako na uchumi wako, watu wengi wanapenda kushauri watu kuhusu vitu wasivovifanya ,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sinawaj kunywa.Mtoa mada na wewe tukushauri,bia na ngoño ni hatari Kwa afya Yako na uchumi wako, watu wengi wanapenda kushauri watu kuhusu vitu wasivovifanya ,
Niulize Mimi naishije?acha upuuzi.
umeshawah kumuuliza kiasi anachoingiza na je,ni kweli anabet tu?
kaka acha kupotosha watu.Niulize Mimi naishije?
Nimempotosha nani? Nimempotoshaje?kaka acha kupotosha watu.
Betting inafanyika kwenye sim, hayo maeneo maalumu unataka yatengwe ili wawe wanaenda na sim zao kubetia huko!? Unajua kwanza betting ni nini? Hao wanaobeti kwenye vibanda huko ni asilimia chache mno kati ya wengi wanaobeti kwenye sim zao.Nafikiri kumekuwepo na kulegalega kwenye uthibiti, betting inatakiwa ifanywe maeneo maalumu ya kibiashara hasa maeneo ya starehe ambako huwezi kuta watoto na vijana wadogo wakiwa wamejazana huko. Sasa huyu aliyeleta leseni za betting kufanyika kila kona ya mtaa alikuwa analenga nini hasa?
GG uhakikia kakaGame ya Bayern na Leipzig over 1.5 itatoa wakuu?
Ohhhhh,sawagesi hii inayosabbisha vidpnda vya tumbo
Bayern win & over 1.5Game ya Bayern na Leipzig over 1.5 itatoa wakuu?
wengine hawataki kubeti ila ni arosto tu.Mtu anabeti kwa pesa yake, hakuombi wala hakuibii we unaumizwa na kipi!? Chuki na wivu tu. Hapo utakuta ni mlevi ila bado unawaona wabetiji wamepotea! Kila mmoja ashinde mechi zake, tukutane muda wa hesabu tuone mlevi na mbetiji nani kavuna.
kwani ajira ndiyo solution?Hapa kuna orodha fupi ya watu maarufu wanaojulikana kubeti:
Floyd Mayweather Jr. (Ndondi)
50 Cent (Muziki)
Charlie Sheen (Uigizaji)
Ben Affleck (Uigizaji)
Michael Jordan (Mpira wa kikapu)
Matt Damon (Uigizaji)
Tobey Maguire (Uigizaji)
Tiger Woods (Gofu)
Pete Rose (Baseball)
Wote hawa wanajulikana na wanabeti ingawa wana kipato si haba. Kama mmewanyima vijana ajira mnategemea wafanye nini?
weka pesa uloshindaTunashangaa mada huku tunakula fweza laini.View attachment 3180866
Ndiyo hela nyepesi kuifuata.Inshu ya betting inathiri kizazi,aisee huwezi amini hali ni mbaya watoto wa Miaka 14 wanabet,huu mchezo umekuwa kimbilio kwa rika ya vijana lakini athari zake ni mno.
Kuna matatizo ya kisaikolojia kwa wachezaji after couple of years watapata madhara makubwa,ikiwemo Ugonjwa hatari wa Gasi,Kupungua kwa Urijali na mengineyo.
Wadau nawashauri huu mchezo siyo mzuri hata kidogo.
Unachotakiwa kuelewa ni kuwa nimeweka odds 4 na zimeshinda. Hizo unazotakaka ni taarifa binafsi za afisa ubashiri ambazo tunazilinda sitaziweka.weka pesa uloshinda
Yule afisa ubashiriSativa anaishi kwa kubeti na ni milionea. Maisha ni kujifunza na kubobea, be a Master of the game