Vijana tunafeli wapi?Kwani lazima kubet?


Mkuu watu wanabet Kwa kutumia simu, sasa hapo utathibiti vipi.
Tatizo ni viongozi wabovu wasiokuwa wabunifu wa vyanzo vya mapato wenyewe wanachojali ni kukusanya kodi bila kujali madhara.
Serikali inatakiwa iharamishe na ipige marufuku biashara ya kubet pamoja na kamari ya aina yoyote.
Kuna nchi mfano India ni marufuku kubet wala biashara yeyote ya kamari
 
Betting au kamari inaathiri Moja Kwa moja akili ya mtu,kwanza ni kulemaza fikra zake ivyo kukosa ubunifu kwa mambo mhimu,,na yenye tija,,kupoteza nguvu kazi ya taifa,yaani athari za kamari zinazidi hata dawa za kulevya!!,nchi yaangalia zaidi mapato,lkn hili ni janga,dini karibu zote zinaipinga kamari, kwasababu ya athari zake mbaya kwa jamii.
 
Ok
 
Mi nadhani serikali na wadau wanatakiwa kutoa elimu ya kutosha juu ya betting, ila sizan km kuna ubaya mtu ku bet
Bet ilikuepo tangu zaman na betting dunia nzima watu wanabet shida ni kutokujua faida na hasara za betting basi
 
Bahati mbaya nchi walizowekeza betting kwa wingi zina maendeleo kuliko Tanzania
 
....Toa Solution. Ufutwe ??...
 
Tutawalaumu sana vijana, ila tutambue tu Vijana na Watanzania wengi ni masikini wa vipato na akili.

Zaidi ya 60% ya vijana hawa matatizo yakukosa vipato na akili wamesababishiwa na wanasiasa tuliowapa mamlaka ya kuongoza nchi na kutuamulia mambo muhimu yanayoamua mustakabali wa maisha yetu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…