Mbulukenge
Senior Member
- Jun 26, 2019
- 130
- 306
Umemaliza kila kitu mkuu.Nilikuwa najiuliza naweza kutumia njia yoyote ya mtu aliyefanikiwa ili na mimi nifike pale juu?.
Ukijaribu huwezi na haiwezekani ila unatumia njia yake kwa maisha na shughuli zako ili ufike unapopataka, ni hivi, huyo jamaa kapambana kwa njia yake ambayo mwingine alipita akashindwa ila yeye kapita.
Haya maisha haya tuangalie hivi hivi tu, huko nyuma kuna mengi.
Mwenye kusikia na asikie.