Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Muwe mnataja jinsia wakuu ili twende sawa.

-Ila wanawake acha tu sijawaona kwenye huu uzi. Wao hawataki kuonekana wakubwa wala wadogo. Wanapenda katikati saana.
Mimi ni Me mkuu
 
Niliijua JF nikiwa chuo mwaka wa kwanza nikiwa na miaka 18,

Baada ya kupewa ubuyu kidogo wa huku JF na best angu.

After one year nikajiunga nilifikia kutafuta jinsi gani naweza root simu yangu.
 
Unaweza kutudokeza huyo mmama mkuu nasi tukajaribu bahati?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yupo humu...Yule mmama alitokea kunielewa sanaa.shida nilikuwa najipaisha sanaaa kumbe holaa....
ya mkini kama ningwambia ukweli ningepata vingi toka kwake..coz alitokea kuniamini sanaaa...na kunishirikisha mambo yake mengi...
na yeye ndiyo aliomba kuonana na Mimi.
shida baada ya kukutana yeye kashuka kwenye gari Mimi nipo na MIGUU. mbaya zaidi umri ulikuwa mdogo ndo nimemaliza 4m 4. .ukicheki yeye muajiriwa na mfanyabiashara

Alibaki kushangaa sanaa na kutoamini kuwa kumbe alikuwa anachat na katoto na kumwambia mambo yake..
alinilaumu snaa Y? nilikuwa na mdanganya...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikaona huu msalaa maana ndizo zilikuwa swaga zangu enzi hizo kwa mademu wa humu..
na isitoshe alisema ataleta ushuhuda na kuniponda +kunianika jukwaani
nikasema heri lawama kuliko fedhea nika mute kuingia humu...
 
Hahaha nimecheka saana aseeh.

Kwamba kwenye comments ulikuwa unajipa maujiko hatari??? Ulikuwa unajisifia kwa yapi mkuu labda nami nijaribu mbinu.


Kwa hiyo sasa unamlia buyu tu...ila yeye haijui hii ID.
 
Hahaha nimecheka saana aseeh.

Kwamba kwenye comments ulikuwa unajipa maujiko hatari??? Ulikuwa unajisifia kwa yapi mkuu labda nami nijaribu mbinu.


Kwa hiyo sasa unamlia buyu tu...ila yeye haijui hii ID.
[emoji23][emoji16][emoji3] mkuu naona umepania kweli kupatia point kwa jamaa
 
Japo ni nje ya mada lakini naomba niwe mlezi wenu.... Kwa nia njema kabisa
Kaka mshana binafsi nakuunga mkono... Itakuwa vizuri sana sana ikiwa utakuwa mlezi wetu coz umekuwa mtu makini sana katika kutoa wasaa kwa sisi vijana..
Binafs npo tayar..
 
Kumbe tunabishana na vitukuu wetu sometimes.....kweli jf ni uwanja huru,
yaani wakati mwingine unamwita mtu MKUU kumbe ni mwanao wa kumzaa.
 
Niiljua jf tangu mwaka 2012 nkiwa form three nkajiunga miaka minne mbele kipindi cha kutafuta chuo lakini tangu nijiunge miaka miwili nyuma nimejifunza mengi sana.
 
Binafsi nilijiunga Jf mwaka 2013 nikiwa kidato cha pili, na aliyenipa ushawishi alkuwa ni my bro ambae alkuwa anapenda sana kunipa masimuliz kuhusu jamii forum na mitandao mingine ya kijamii kama Facebook.. Ila kwa vile skuwa serious sana na mambo ya Jamii forum /mitandao mingine ya kijamii , nilipoteza account nkawa napitia pitia tu majukwaa tofauti tofauti kuchek udaku na kujiongezea maarifa.. Nkaja kurudi rasmi mwaka huu 2018 baada ya kuhitimu elimu yangu ya A-level.

Kwasasa nipo chuo, chuo kikuu cha Dsm (UDSM)..

Kwa wazaz kwa sasa nimeshatoka coz kwanza ni mbali na chuo na skupenda kukaa hostel hvyo nimepanga.

Kuhusu mahusiano bado tupo kwenye hatua ya mchujo.
 
Tumbe tunabishana na vitukuu wetu sometimes.....kweli jf ni uwanja huru,
yaani wakati mwingine unamwita mtu MKUU kumbe ni mwanao wa kumzaa.
Kubishana na kutoa fact haitegemei umri kuna ma young wana IQ kubwa kulko wazee kibao ambao nao wanazeeka na ujinga wao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…