Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Kweli kabisa kjna.. Tupambane umasikini unaumiza
 
kafie mbele uende huko mbinguni unakotaka. Idiot!!.
Zee zima huna hata haibu.. Hv unajisikiaje jitu zima kama wewe unaanika matusi hadharani hapa mbele ya vijana wadogo..
Tena usidhani kama kuna mtu atakurudishia hayo matusi yako, sisi ni vijana wadogo ila tuna hekima zetu kukuliko
Tukaushie bhana kama vp, kwani tatizo nn...?
 
Haya ndo yale mazee yanaishi kwa ndugu either kaka au shangazi.
halina familia yake.
Zee zima huna hata haibu.. Hv unajisikiaje jitu zima kama wewe unaanika matusi hadharani hapa mbele ya vijana wadogo..
Tukaushie bhana, kwani tatizo nn...?
kafie mbele uende huko mbinguni unakotaka. Idiot!!.
 
dah unanikumbusha 2012 #nipo na natesa na express music #nilikuwa niki search kitu wana nilink na nyuzi za jamii forums ila nikaipenda zaidi nilipoingia kwenye mmu tule tu visa bas nikitupitia nacheka kinyama#assasin creed
 
Nadhani kuna haja ya kuirudisha c @melo
 
Hahahaa noma sana
 
Jifunze kuandika kwa ufasaha kwanza...sibishani na mburula's..aliyekwambia mimi mzee nani au kisa hapa JF tunatumia fake ID's and details? Halafu Comment yangu ya mwanzo haikuwa na maana yoyote mbaya zaidi ya "Jokes" sasa nashangaa mnakuja juu kama mna mimba changa "mapunga nyie"......
 
Haya ndo yale mazee yanaishi kwa ndugu either kaka au shangazi.
halina familia yake.
Nyie wote inaelekea hamna hata ajira wala hamjajiajiri kazi kula kulala na kunya tu majumbani kwenu.....Hata kodi hamjui inalipwaje "Mandondocha" nyie.😎
 
Mimi saivi ni kotekote, geto ama kwa dingi lake.
πŸ˜‚πŸ˜‚ kama me mkuu ani nakaba pande zote ila kigeto geto sana , mambo yakiwa tight huwa naenda nyumbani ani pamoja na kuwa nimeamua kuanza life langu maza,brother,sister wananimonitor , wananiongoza kiaina , japo naona naweza jisaidia mwenyewe kwa kiasi chake
 
Nyie wote inaelekea hamna hata ajira wala hamjajiajiri kazi kula kulala na kunya tu majumbani kwenu.....Hata kodi hamjui inalipwaje "Mandondocha" nyie.😎
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ unatuonea wivu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ pole kama vipi si urudi kwenu au huna wazaziπŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…