Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Ckumbuki nimejiunga Mara ngapi manake napoteza password... Hi id mpya...
Niko napambana na pips tutaelewanana tuu
 
Chuo gani upo
Nimeijua nikiwa form 3 mwaka(2014) ila nilifungua account ya kwanz 2015 japo sikuitumia sana nikaachana. Nipo chuo mwaka wa kwanza kazi bado sina ila by the way kama una online business yoyote waweza nishirikisha
 
I'm primary teacher proffesionally but i have not employed since 2015... Mwaka 2016 nikaenda zangu mjini show ikawa kali nakumbuka uncle ndo anaanza kukaza vyuma vyake... Nkarudi home (mkoani) 2017 nikafungua library nikawa napiga hela nyingi, nikaamua kuhama kwa mzee na kuishi maisha ya kupanga mpaka leo, sikosi hela ya kula wala kuvaa na kuhonga, sitarajii kurudisha mpira kwa kipa.
Sina mtoto, sijaoa na sijawahi kuoa.
 
Umri wako?
 
Nilinunua Gari meli ikazama baharini nikavua ngua nikakamata samaki now napambana na wanao nipiga vita sikukuu njema
 
Juzi tu nimevuka hiyo under 25 basi hapa sitachangia kitu ngoja niangalie tu
 
19 years

Nimejifunza mengi kupitia Jf Bravo kwa wote wanao-share nondo zao humu jamvini.
 
Msicheze na maisha, jipangeni na sikilizeni sana ushauri wa waliowatangulia hasa wazee na tumia akili zenu eidha kuufanyia kazi huo ushauri au laa.
Epukeni peer pressure!
Mimi nimetoka kwenye groupe lenu miaka kadhaa iliyopita. Namshukuru Mungu kwa yote.
 
Ufafanuzi mkuu
Kundi lenu lina changamoto sana. Vishawishi vya kufanya mambo eidha mazuri au mabaya!
Peer pressure ni kufanya kitu unaweza wewe ukawa hukipendi ila unafanya kwa sababu tu marafiki zako wa umri wenu wamefanya. Unafanya ili ukubalike nao, sense of security kuwa na kundi la marafiki.
Kwa kifupi tumia akili, usifanye tu kitu kufurahisha kundi lako mfano wengi wa kundi hili huingia ktk kuvuta sigara, pombe, madawa, anasa etc sababu ya peer pressure!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…