Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa

Vijana tusiozidi miaka 25 ambao tupo humu JF tukutane hapa


Jr[emoji769]
 
Kweli kazi muhimu
Dah...madogo ...msifikiri kuwa chini ya 25 ni jambo la kujivunia..hapana...umri huo ni hatari sana...ni umri wa kujipanga na kujua utaifanyia nini dunia...ni umri wa kazi sana na Bata sana ...ili Angalau na wewe uwe na "enzi zetu..."...na sio umri wa kulialia kwenye majumbani ya ibada...Sisi wenye 78 hatukurukia huku..tulipita humohumo..tuliambiwa hayahaya..walioyachukua tunawaona...na walioyapuuzia pia tunawaona...hata Bibi naye alikuwa binti[emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Sent using Beretta ARX 160
 
Thanks,,kwa upande wangu Mimi bado nipo chuo pia naishi home,Kuhusu JF at first niliijua nilikua form one2013,Kuna Chalii mmoko alinionyesha ndo nikaanza ku'struggle hadi Mwaka huu mwezi January ndo nikafanikiwa kuwa na Account rasmi nayo nilifunguliwa na budhaa mmoja anaitwa Sossy B,nilmfata fb nikamwomba akanifungulia ikawa echu echu,,Jf imenifaidisha kinyama kwa mambo shazi2,Kuna jukwaa la Elimu,Lugha,Doctors yamenifaidisha sana,bila kusahau ku'refresh mind kwa story za GuDume na Jukwaa la Jokes pale fiade,Ila kitu kinachonikera humu ni Ma'manzi kunifata PM wananiuliza nna kazi gani na umri gani?nikiwaambia ni mwanafunzi bado alaf sijafika 22....Years wanakua hawajibu tena Text kudadeki zao...Am out

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee wewe ni dogo,so tusalimiane kijana...[emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom