Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 24,262
- 58,728
Dawa yake ni kunywa maji mengi na kukimbia asubuhi na jioni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sa tutakunywa nini?Duh hapo kwenye maziwa na Kavu[emoji17] maana ndio vipengele vyangu
Ila hii dunia hadi kunywa maziwa ni noma?
1. Kunywa maziwa haina athari yeyote ile kisayansi ikiwa tu, utachemsha maziwa vizuri kwa centigrade 100' il kuepusha ugonjwa aina ya Bhang Disease(brucellosis/brucella), ugonjwa huu pia huwapata wale wanao shinda machinjio ya wanyama ( ng'ombe, mbuzi, kindoo na n.k)■Tuache vitu vitamu sana kama soda na carbonated drinks
■Tupunguze nyama nyingi nyekundu e.g nyama ya ng'ombe na maini.
■Tupunguze beer
■Tuache sex za kavu kavu
■Tupunguze mafuta mengi katika milo e.g vyakula vya kukaanga na mafuta mengi
■Tujifunze kunywa maji. Hapa ndio kuna uvivu ila hauna namna itakubidi tu
■Tupunguze sukari nyingi.
■Tuache kukaa muda mrefu kwenye viti vigumu na vilivyonyooka e.g gharamika ununue viti maalum
■Tupunguze uzito.
■Tupunguze kunywa maziwa sana
Miaka tu 20 iliopita usingeweza kuona tabu hizi lakini sasa hivi zimekuwa chronic katika jamii, na sasa cha ajabu mostly katika vijana wadogo mno.
Najua hata wewe hapo haukosi ndugu au rafiki wa karibu ambae hakosi moja ya hizo conditions hapo juu.
Tumejitahidi kiasi kushindana na ukimwi, sasa hivi tushindanae na haya majanga mengine.
Mzungu cancer ndio inampa tabu, Waafrika tabu zilizo kuja ni hayo majanga niliyotaja hapo juu. Yana tesa sana, yana gharamisha na pia kifo cha uchungu sana.
Kama ni vigumu kufanya mazoezi jichange ununue kabaiskeli ka mazoezi weka ndani uwe unapiga mazoezi asubuhi na jioni.
TAKE CARE. Hamka sasa Kafanye full check up ya mwili mzima na full blood picture ili ujue status zako ili upambane na viatirishi vitakavyoonekana katika mwili wako
[emoji109][emoji109]■Tuache vitu vitamu sana kama soda na carbonated drinks

Basi heading irekebishwe maana list imejumuisha hii biological marker na diseases.Uric acid sio ugonjwa.
Bali ni maligafi inayotolewa kutoka mwilini kupitia kidney yako.
Sasa kiwango kikikuwa kikubwa cha uric acid kutokana na ulaji wa vyakula vyenye madini ya kuongeza uric kwa sana vinavyoongeza au kidney yako kukosa kufanya kazi vizuri ndio inakuwa shida.
Unakuta uric acid inakuwa nyingi damuni kinachofatia ni ugonjwa wa glout, moyo na kdc.
Ni vyema kupima ujue level za uric acid yakp ukajua ziko ngapi ili upewe dawa ui control pia diet nzuri.
Epuka nyama sana ya ngombe, maziwa, nanasi, tomato sauce, mafuta mengi, lemons, karanga, soda, beer, etc
Pia uric acid ikiwa inaoongeza na madhara hauwezi kutambua mapena maana inakuja kimya kimya
Hatari mtu unacheza na allopurinol kama umeungwa kwenye phase 3.Kweli mkuu hii hatari.
Punguza pia kula maharage, apple punch, nanasi, tomato sauce
■Tuache vitu vitamu sana kama soda na carbonated drinks
■Tupunguze nyama nyingi nyekundu e.g nyama ya ng'ombe na maini.
■Tupunguze beer
■Tuache sex za kavu kavu
■Tupunguze mafuta mengi katika milo e.g vyakula vya kukaanga na mafuta mengi
■Tujifunze kunywa maji. Hapa ndio kuna uvivu ila hauna namna itakubidi tu
■Tupunguze sukari nyingi.
■Tuache kukaa muda mrefu kwenye viti vigumu na vilivyonyooka e.g gharamika ununue viti maalum
■Tupunguze uzito.
■Tupunguze kunywa maziwa sana
Miaka tu 20 iliopita usingeweza kuona tabu hizi lakini sasa hivi zimekuwa chronic katika jamii, na sasa cha ajabu mostly katika vijana wadogo mno.
Najua hata wewe hapo haukosi ndugu au rafiki wa karibu ambae hakosi moja ya hizo conditions hapo juu.
Tumejitahidi kiasi kushindana na ukimwi, sasa hivi tushindanae na haya majanga mengine.
Mzungu cancer ndio inampa tabu, Waafrika tabu zilizo kuja ni hayo majanga niliyotaja hapo juu. Yana tesa sana, yana gharamisha na pia kifo cha uchungu sana.
Kama ni vigumu kufanya mazoezi jichange ununue kabaiskeli ka mazoezi weka ndani uwe unapiga mazoezi asubuhi na jioni.
TAKE CARE. Hamka sasa Kafanye full check up ya mwili mzima na full blood picture ili ujue status zako ili upambane na viatirishi vitakavyoonekana katika mwili wako
Nyama SI tatizo na pia sijaelewa unaposema Uric Acid inakutesa ?Umeongea vyema hapo kwenye uric acid mzee kunanitesa mwaka wa 3 na jamaa zangu naona wananifata.Nyama nyekundu nyingii sana na mitungi.Tujitahidi kupunguza.
Hatari mtu unacheza na allopurinol kama umeungwa kwenye phase 3.
Mkuu unakula vyakula gani kama huli wanga?Nina mwaka wa 10+ sili aina yoyote ya sukari, vinywaji vyote vya sukari Siri. Asubuhi Huwa nakunywa maji ya uvuguvugu ya limao 1 na tangawizi bila sukari Kila siku maisha yangu yote.
Ugali na wali Huwa nakaa hata miezi 6 bila kula. Wanga nimepunguza Kwa asilimia zaidi ya 96. Kwa kifupi Mimi na wanga hatupatan!
Pombe situmii! Kabisa!
Ninaweza kukaa hata mwaka siumwi Wala kujisikia shida yoyote mwilini. Nalala vizuri na kuamka vizuri!
Ninafanya OMAD ( one meal a day) kama nilivyojifunza kutoka kwa Dr Eric Berg ( Nenda YouTube utajifunza zaidi namna ya kula na sio kulakula)
Inashangaza Sasa hivi Kila mtu ana kitambi. Binti mzuri ila kitambi. Vijana wadogo vitambi. Guys tujipende kuwa na mavitambi ni kutojipenda na dalili za ulafi.
Mtu unakuwa mnene na unalala ovyo iwe ofisini hata kanisani na unaendelea kula hovyo bila kuchukua hatua.
Sent from my Pixel 5 using JamiiForums mobile app
Gout.Nyama SI tatizo na pia sijaelewa unaposema Uric Acid inakutesa ?
Kivipi ,una arthritis au ugonjwa gani?
Kula nyama Kwa wingi hasa zenye gelatin Kwa wingi kama kongoro,mkia,firigisi na epuka sukari na wanga.Gout.
Nyama nyekundu na pombe.Madaktari wamekuambia kuwa chanzo cha uric acid kwako ni nn?
Kama nyama nyekundu ni tatizo si wamasai na wagogo wote wangekuwa na uric acid?Nyama nyekundu na pombe.
Mi kuhusu Wamasai na Wagogo sijui,labda wataalamu ndio wanajua kwa nini? Na kuna watu nawafahamu wanakula nyama kuliko mimi na pombe na wako freesh tu.Labda kuna sababu nyingine .Nikirudi hospitali tena ntawauliza hili swali.Asante.Kama nyama nyekundu ni tatizo si wamasai na wsgogo wote wangekuwa na uric acid?