kina kirefu
JF-Expert Member
- Dec 14, 2018
- 15,188
- 18,583
Unakunywa maziwa ya ng'ombe ,una ini la ng'ombe wwDuh hapo kwenye maziwa na Kavu[emoji17] maana ndio vipengele vyangu
Ila hii dunia hadi kunywa maziwa ni noma?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unakunywa maziwa ya ng'ombe ,una ini la ng'ombe wwDuh hapo kwenye maziwa na Kavu[emoji17] maana ndio vipengele vyangu
Ila hii dunia hadi kunywa maziwa ni noma?
Mafuta yanayo ganda husababisha High cholesterol...Mafuta ya nayoganda ni best kiafya kuliko ya siyoganda.
Mafuta yanayo ganda husababisha High cholesterol...
Sawa endelea kuamini hivyo.Jielimishe vyema mafuta yanayoganda ndio mafuta bora,cholesterol haisababishi magonjwa.
Its all about bizness
Sawa endelea kuamini hivyo.
Usinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.
Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.
Kuna kitu hakipo sawa.
Usinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.
Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.
Kuna kitu hakipo sawa.
kumbe upoKwenye Sex kavu kavu hapo, mtuache kwan.
Wengine kutumia ndomu ni kosa LA jinai.
Inawezekana hapo kwenye vitu vya kukaanga na sukari ndo kuna siri.Ndio hapo wanaponishangaza bibi yangu mpk anafika 100+ yr alikua anapiga maziwa kila siku,haipit siku mbili hajala nyama,maji ilikua changamoto kwake,,ila siku moja alipiga dumu zima presha ilikua juu but alitumia miti shamba ikapona,,,vitu ambavyo alikua hali ni vyakukaanga,vyasukari na chumvi nyingi btw hakuwahi kuchomwa chanjo mwilin mwake alifariki kwa ugonjwa wa uzee tu
Huyo mwamba ambaye Hali kabisa wanga ananipa shaka, anaweza hata kunyanyua tofali kweli?
si kweli..mafuta yanayoganda ni hatariJielimishe vyema mafuta yanayoganda ndio mafuta bora,cholesterol haisababishi magonjwa.
Its all about bizness
yana hatari gani elimu potofu maana si rahisi kupatikana na ni bora tatizo mnadhani mshipa wa damu ni kama bomba mafuta yanasafiri na kufanda ndani ya bomba..sukari ndio hubadilika na kuwa mafuta hayo yanayojaa kwenye tumbo na mishipa ya damu...si kweli..mafuta yanayoganda ni hatari
Pole.SIjapima lakin dalili zote naumwa magonjwa lundo yasiyo ya kuambukiza. Sijui nianzie wap.
UTI sugu
Bawasiri
Tezi dume
Sukari
Kibofu kichafu
Nguvu za kiume pyee. Mwaka wa 3 sijasex, nikiona k nahis ni vipande 2 vya chungwa.
Natongoza kama rehearsal kichwan sitak anipe.
Nikipanda ngazi 3 hoi.
Jointi zote za miguu zinapwaya.
Uchovu hata bila kutumikisha mwili.
......yan natembea na wosia