Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

Sawa endelea kuamini hivyo.

Mmedanganywa sana asee hadi huruma,mafuta yanayoganda ndio best kwa matumizi,hujiulizi tu tangu kampeni za kupinga matumizi ya mafuta yanayoganda na kutumia mafuta yasiyo ganda mbona magonjwa ya visukari,hypertension na pressure na uzito mkubwa yanaongezeka kwa kasi,tumia akili,its a hoax.
 
Usinywe bia, usinywe maziwa, usile nyama nyekundu.

Wazee wetu wamekula nyama, wamekunywa maziwa, wanakunywa pombe tena za kienyeji, wamevuta kiko.

Kuna kitu hakipo sawa.

Ndio hapo wanaponishangaza bibi yangu mpk anafika 100+ yr alikua anapiga maziwa kila siku,haipit siku mbili hajala nyama,maji ilikua changamoto kwake,,ila siku moja alipiga dumu zima presha ilikua juu but alitumia miti shamba ikapona,,,vitu ambavyo alikua hali ni vyakukaanga,vyasukari na chumvi nyingi btw hakuwahi kuchomwa chanjo mwilin mwake alifariki kwa ugonjwa wa uzee tu
 
Nyama ya ng'ombe ni ya kula kwa wingi,maziwa yanyweke kwa kuenda mbele. Beer ina virutubisho vyote vinavyotakiwa katika mwili wa binadam.
 
Ndio hapo wanaponishangaza bibi yangu mpk anafika 100+ yr alikua anapiga maziwa kila siku,haipit siku mbili hajala nyama,maji ilikua changamoto kwake,,ila siku moja alipiga dumu zima presha ilikua juu but alitumia miti shamba ikapona,,,vitu ambavyo alikua hali ni vyakukaanga,vyasukari na chumvi nyingi btw hakuwahi kuchomwa chanjo mwilin mwake alifariki kwa ugonjwa wa uzee tu
Inawezekana hapo kwenye vitu vya kukaanga na sukari ndo kuna siri.
 
si kweli..mafuta yanayoganda ni hatari
yana hatari gani elimu potofu maana si rahisi kupatikana na ni bora tatizo mnadhani mshipa wa damu ni kama bomba mafuta yanasafiri na kufanda ndani ya bomba..sukari ndio hubadilika na kuwa mafuta hayo yanayojaa kwenye tumbo na mishipa ya damu...
 
Nyama na maziwa ni miongoni mwa vyakula salama sana
 
Hizi, huwa ni kelele za wazalishaji wakitaka kupiga pesa,
Kwanza, utasikia usitumie maziwa, tumia unga wa soya,
Au mayai ya kanga ni dawa,au, kuna sumu kuvu!tusile mahindi, maharage,
Hayo magonjwa yapo tu, tangu zamani, haina haja yq kuleta tashwishwi,
 
SIjapima lakin dalili zote naumwa magonjwa lundo yasiyo ya kuambukiza. Sijui nianzie wap.
UTI sugu
Bawasiri
Tezi dume
Sukari
Kibofu kichafu
Nguvu za kiume pyee. Mwaka wa 3 sijasex, nikiona k nahis ni vipande 2 vya chungwa.
Natongoza kama rehearsal kichwan sitak anipe.
Nikipanda ngazi 3 hoi.
Jointi zote za miguu zinapwaya.
Uchovu hata bila kutumikisha mwili.
......yan natembea na wosia
 
Pole.
 
Back
Top Bottom