Vijana tuwe makini: Uric acid, UTI sugu, blood pressure, anthritis, KDC, brusella na kisukari kuokota rahisi sasa hivi!

1. Kunywa maziwa haina athari yeyote ile kisayansi ikiwa tu, utachemsha maziwa vizuri kwa centigrade 100' il kuepusha ugonjwa aina ya Bhang Disease(brucellosis/brucella), ugonjwa huu pia huwapata wale wanao shinda machinjio ya wanyama ( ng'ombe, mbuzi, kindoo na n.k)

2. Kwa upande wa mafuta, hapa yamegawanyika sehemu mbili, kuna mafuta mazito(kuganda) na mafuta malain(ambayo haya gandi) ..
. Mafuta yanayo Ganda mfano mafuta ya ng'ombe
. Mafuta yasiyo Ganda mfano mafuta ya kiti moto, mafuta ya Alizeti.


Asante kwa ushauri mzuri, vijana wengi nowadays tumekua wavivu sana kufuata protocol za maisha..
 
[emoji109][emoji109]
 
Basi heading irekebishwe maana list imejumuisha hii biological marker na diseases.
 
Umeongea vyema hapo kwenye uric acid mzee kunanitesa mwaka wa 3 na jamaa zangu naona wananifata.Nyama nyekundu nyingii sana na mitungi.Tujitahidi kupunguza.
Kweli mkuu hii hatari.

Punguza pia kula maharage, apple punch, nanasi, tomato sauce
Hatari mtu unacheza na allopurinol kama umeungwa kwenye phase 3.
 
Ufafanuzi NAOMBA wa hapo uliposema tukae viti maalumu .....wamaanisha nn??
 
Umeongea vyema hapo kwenye uric acid mzee kunanitesa mwaka wa 3 na jamaa zangu naona wananifata.Nyama nyekundu nyingii sana na mitungi.Tujitahidi kupunguza.

Hatari mtu unacheza na allopurinol kama umeungwa kwenye phase 3.
Nyama SI tatizo na pia sijaelewa unaposema Uric Acid inakutesa ?
Kivipi ,una arthritis au ugonjwa gani?
 
Mkuu unakula vyakula gani kama huli wanga?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mnataka muishi milele kama mawe wwkuu, we kula kila unachojiskia ukifikia 50 hata ukifa sio shida
 
Kama nyama nyekundu ni tatizo si wamasai na wsgogo wote wangekuwa na uric acid?
Mi kuhusu Wamasai na Wagogo sijui,labda wataalamu ndio wanajua kwa nini? Na kuna watu nawafahamu wanakula nyama kuliko mimi na pombe na wako freesh tu.Labda kuna sababu nyingine .Nikirudi hospitali tena ntawauliza hili swali.Asante.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…