sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Nimecopy na kuileta humu
Naomba unisikilize na unielewe vzr sana.
Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki
Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite.
Sio kila mkulima ataishia kuwa na matrekta, shamba la hela 1000 na mashine kubwa kubwa.
Sio kila mwanasiasa ataishia kuwa Waziri, Mbunge au Mkuu wa Mkoa.
Sio kila msanii ataishia kuwa kama Simba au Kiba, sio kila upcoming artist atasainiwa Wasafi.
Sio kila mcheza mpira ataishia kuwa kama Samata, Wengine wapo huku tim za daraja la pili
Kwa kuyatamka hayo, sio kila mjasiriamali lazima atajirike. Sio kwamba ukiingia kwenye biashara ndo unakuwa milionea
Hata huko ulaya kuna biashara za simu zimefulia vby, wenye nazo wamechoka km vile wapo Bongo tu.
Usiwe na overexpectations, wewe fanya ujasiriamali kwa nguvu zako zote mengine mwachie MUNGU. Kuna msemo unasema Mungu humpa amtakaye, kuna watu atawabariki pepo ya duniani wengine watabarikiwa pepo ya akhera