Vijana Ujasiriamali sio Muhuri wa utajiri: Mafanikio yake hayana utofauti na ya mwajiriwa, mkulima, mwanasiasa, mwanamuziki au Mcheza mpira

sky soldier

JF-Expert Member
Joined
Mar 30, 2020
Posts
5,407
Reaction score
19,264
Nimecopy na kuileta humu

Naomba unisikilize na unielewe vzr sana.

Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki

Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite.

Sio kila mkulima ataishia kuwa na matrekta, shamba la hela 1000 na mashine kubwa kubwa.

Sio kila mwanasiasa ataishia kuwa Waziri, Mbunge au Mkuu wa Mkoa.

Sio kila msanii ataishia kuwa kama Simba au Kiba, sio kila upcoming artist atasainiwa Wasafi.

Sio kila mcheza mpira ataishia kuwa kama Samata, Wengine wapo huku tim za daraja la pili

Kwa kuyatamka hayo, sio kila mjasiriamali lazima atajirike. Sio kwamba ukiingia kwenye biashara ndo unakuwa milionea

Hata huko ulaya kuna biashara za simu zimefulia vby, wenye nazo wamechoka km vile wapo Bongo tu.

Usiwe na overexpectations, wewe fanya ujasiriamali kwa nguvu zako zote mengine mwachie MUNGU. Kuna msemo unasema Mungu humpa amtakaye, kuna watu atawabariki pepo ya duniani wengine watabarikiwa pepo ya akhera
 
Kweli kabisa.
Cc LadyRed
 
Natumai Lego la hii makala lilikuwa kuhalalisha na kuhamasisha ujinga [emoji847]

"Usiwe na overexpectations, wewe fanya ujasiriamali kwa nguvu zako zote mengine mwachie MUNGU. Kuna msemo unasema Mungu humpa amtakaye, kuna watu atawabariki pepo ya duniani wengine watabarikiwa pepo ya akhera"
Nilikua naelekea kushawishika na mada ila hii reply yako imenirudisha kwenye msimamo wangu[emoji38][emoji38]
 
Nimecopy na kuileta humu

Naomba unisikilize na unielewe vzr sana.

Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki

Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite.

Sio kila mkulima ataishia kuwa na matrekta, shamba la hela 1000 na mashine kubwa kubwa.

Sio kila mwanasiasa ataishia kuwa Waziri, Mbunge au Mkuu wa Mkoa.

Sio kila msanii ataishia kuwa kama Simba au Kiba, sio kila upcoming artist atasainiwa Wasafi.

Sio kila mcheza mpira ataishia kuwa kama Samata, Wengine wapo huku tim za daraja la pili

Kwa kuyatamka hayo, sio kila mjasiriamali lazima atajirike. Sio kwamba ukiingia kwenye biashara ndo unakuwa milionea

Hata huko ulaya kuna biashara za simu zimefulia vby, wenye nazo wamechoka km vile wapo Bongo tu.

Usiwe na overexpectations, wewe fanya ujasiriamali kwa nguvu zako zote mengine mwachie MUNGU. Kuna msemo unasema Mungu humpa amtakaye, kuna watu atawabariki pepo ya duniani wengine watabarikiwa pepo ya akhera
Nilichojifunza ni yafuatayo..

Kuna wajasiriamali ambao wakifa leo basi watoto wao ama familia zao zitakosa cha kufanya kama ambavyo muajiriwa akifa leo tu familia yake itakosa cha kufanya juu ya kazi ya mlezi wao.

Kuna wajasiriamali bila kweda kazini hawapati pesa kama ambavyo muajiriwa bila kwenda kazini hapati mshahara.

Kuna wajasiriamali ambao bila kuwepo wao kibaruani mambo hayaendi kama ambavyo muajiriwa asipoenda kazini ataulizwa maswali kibao vinginevyo adanganye.

Ujasiriamali wa aina hii pengine usiwe tofauti sana na kuajiriwa
 
Umecopy ujinga na kuuleta humu?

Kama huwezi kusoma between the line huwezi kuelewa anachomaanisha.
Fanya research ndogo ya wajasiriamali unaowahafamu vizur angalia wangapi wamepasua nakua matajiri... kama jibu niwachache au Hakuna kabisa basi ujue kua hao siowapumbavu kwa kushindwa kufanikiwa matajir

Ujasiriamali nisehemu ya biashara lakin mjasiriamali na mfanyabiashara niwatu wawili tofauti
 
Nimecopy na kuileta humu

Naomba unisikilize na unielewe vzr sana.

Ujasiriamali/biashara ni career sijui nisemaje ulielewe, yani ni lifestyle km ilivyo kuwa mwajiriwa au mkulima au mwanasiasa au mwanamuziki

Sio waajiriwa wote wataishia kuwa CEO ktk kampuni kubwa km Vodacom, TBL au Delloite.

Sio kila mkulima ataishia kuwa na matrekta, shamba la hela 1000 na mashine kubwa kubwa.

Sio kila mwanasiasa ataishia kuwa Waziri, Mbunge au Mkuu wa Mkoa.

Sio kila msanii ataishia kuwa kama Simba au Kiba, sio kila upcoming artist atasainiwa Wasafi.

Sio kila mcheza mpira ataishia kuwa kama Samata, Wengine wapo huku tim za daraja la pili

Kwa kuyatamka hayo, sio kila mjasiriamali lazima atajirike. Sio kwamba ukiingia kwenye biashara ndo unakuwa milionea

Hata huko ulaya kuna biashara za simu zimefulia vby, wenye nazo wamechoka km vile wapo Bongo tu.

Usiwe na overexpectations, wewe fanya ujasiriamali kwa nguvu zako zote mengine mwachie MUNGU. Kuna msemo unasema Mungu humpa amtakaye, kuna watu atawabariki pepo ya duniani wengine watabarikiwa pepo ya akhera
Ungemalizia kum-acknowlegde Ontario huko mitaa ya insta
 
Umeelezea vizuri sana, kuna kitabu cha R. Kiyosaki kinaitwa "Cash flow quadrants" ameyaelezea haya kiundani sn!
Nilichojifunza ni yafuatayo..

Kuna wajasiriamali ambao wakifa leo basi watoto wao ama familia zao zitakosa cha kufanya kama ambavyo muajiriwa akifa leo tu familia yake itakosa cha kufanya juu ya kazi ya mlezi wao.

Kuna wajasiriamali bila kweda kazini hawapati pesa kama ambavyo muajiriwa bila kwenda kazini hapati mshahara.

Kuna wajasiriamali ambao bila kuwepo wao kibaruani mambo hayaendi kama ambavyo muajiriwa asipoenda kazini ataulizwa maswali kibao vinginevyo adanganye.

Ujasiriamali wa aina hii pengine usiwe tofauti sana na kuajiriwa
 
zaidi ya asilimia 90% ya biashara za Tanzania hufa kabla ya kutimiza miaka mitano.
 
Haitakuwa na tofauti na wasanii wachanga wanaoacha mziki, Au mcheza mpira wa daraja la pili kuuacha mpira kujaribu kwengine,.....
 
Back
Top Bottom