Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

Ukiona mange hajavujisha ujue kalipwa hela nyingi sana na huyo mwenye skendo.

Mange mwenyewe mafia ndio maana alikuwa anawatukana kina Magufuli bila uoga. Imagine RAIS wa nchi hakumuogopa.

Mange kamtukana Mufti mkuu wa nchi. BAKWATA mashehe wote na dua zao kimyaaa..

Mange asiwaogope IGP wa polisi na mkuu wa majeshi. Amuogope waziri mstaafu mafia wa mtaani ambaye watu wanamtombeazz mke wake na hawafanyi chochote

Mange sio mwepesi.
Kumbe na mkewe nae anafanya hivyo? Basi ngoma droo...
 
Nimetoka kapa! Sielewi hata kimoja kinachojadiliwa. Aisee! Kweli sasa nazeeka, ni muda sasa wa ku change hili jina la kihuni nitambulike sasa baba Jay mwenye maadili
Kuna video ya nyalandu yupo na demu room. Kwa ufupi mleta mada anatoa ushauri wanaume tujichunge wanawake siku hizi anakurecord na kuuza video kama alivofanyiwa le super marehemuz, kokobanga nyenye nye le mutuz you know from sea view
 
me nikianza kum gegeda nahakikisha simu yake ipo poleee kwa meza
Mkuu vifaa vya kurekodia siyo simu tu,utakuja kujiachia sana ukijua umemdhibiti kumbe ndo unazidi kumwaga radhi.Kua makini.
Siku hizi kuna Kamera za kisasa sana ambazo ziko portable na zingine zina size ndogo sana, siyo rahisi hata kidogo kuweza kuzing'amua haraka. Na kwa bahati mbaya zaidi, Camera hizo kwa sasa zipo ktk maumbo mbalimbali yanayofanana na vitu vya kawaida ambavyo tunavitumia kila siku ktk majumba yetu, mfano, saa ya ukutani, midoli, radio, chupa ya chai, taa za umeme, bakuli, birika, sahani, n.k. Kwa haraka haraka huwezi kugundua kwamba vifaa vya namna hiyo vinaweza kuwa ni Camera mpaka uwe na uelewa mpana wa "Jicho la Mwewe."
 
Nimetoka kapa! Sielewi hata kimoja kinachojadiliwa. Aisee! Kweli sasa nazeeka, ni muda sasa wa ku change hili jina la kihuni nitambulike sasa baba Jay mwenye maadili
Kuna mstari mmoja wa vijana wako hua unanichekesha knoma eti

"Jua linawaka na sisi tunawaka"

No ni 26
 
Back
Top Bottom