Vijana umakini unahitajika wadada kuvujisha picha za faragha

Boss jambo likishalipa sokoni litakimbiliwa tu. Kuna soko la picha za utupu kwa kimambi na linalipa. Kama ww ni maarufu maarufu kuwa makini, pesa huwa haitoshi, unaweza mlipa vizuri na akakurikodi alipwe tena.
 
Unatembea na malaya waliooza halafu unatarajia usinuke? Mimi nasemea wanawake wenye heshima na wanaojitambua. Unadhani kuna mwanamke mwenye heshima ata-risk vihela anavyolipa kwa kuchafua image yake?
 
Naona neno Mafia limeshapoteza maana yake.
 
Unatembea na malaya waliooza halafu unatarajia usinuke? Mimi nasemea wanawake wenye heshima na wanaojitambua. Unadhani kuna mwanamke mwenye heshima ata-risk vihela anavyolipa kwa kuchafua image yake?
Upo sawa, ila si lazima anayerikodi awe unayetembea nae. Hata mhudumu wa hotel anaweza tegesha akapata picha au video, si soko lipo atauza? Wewe na huyo anayejiheshimu wote mnashangaa video yenu imekuaje, huenda hata mkalaumiana.
 
Bado narudia. Ukichukuwa malaya waliooza unaenda sehemu zilizooza na huko utakutakana na wahudumu waliooza. Kwa kifupi issue hapa ni ''nafuu inagharimu''. Cha kuzingatia ni kwamba hii siyo kanuni ya kisayansi hivyo kuna uwezekano, japo mdogo kubadilika. Hii nchi asilimia kubwa ya viongozi wa dini, wanasiasa na wafanyabiashara maarufu haya huyafanya sana. Clips zinazovuja ni tone la maji kwenye bahari.
 
Mkuu kuna kitu hukielewi. "Uwepo wa soko la wazi la utupu bila ridhaa ya wahusika" Hili soko ndilo tatizo na ndilo la kudhibiti.

Likiachwa likashika kasi hakuna aliye salama hata uwe unalala nyota 5. Ni suala la maslahi tu, kama picha za utupu wako zina maslahi ya kutosha watu watatafuta namna zipatikane.

Picha yako mtu akalipwa M5-M10 kutegemeana na umaarufu wako, kiasi hicho wahusika kwanini wasiwekeze hata kwenye drones ilimradi utupu wako upatikane?

"Soko la kununua picha za utupu bila ridhaa ya wahusika ni la kulidhibiti"
 
Nimeelewa. Kudhibiti soko la picha za utupu ni ngumu sana kwa sababu ya technology. Utafanyanyeje? Ukifungia app, watu bado wana njia nyingine za kupata picha na video. Wakati sisi Tanzania pengine tunaona kuvujisha clips za waziri akiwa na kimada kitandani ni kumkosea heshima, sehemu nyingine wanaona ni njia nzuri ya kumwajibisha. Kwa kifupi ukitaka kuwa salama, basi baki na mkeo/mumeo. Ukishindwa basi tumia njia niliyosema japo nayo siyo salama kwa asilimia zote.
 
Mkuu, Mange anapokeaje fedha kutoka kwa watanzania? Hapa ndipo pa kudhibiti maana anapopata fedha ndipo naye anapolipa watafuta utupu. Nasikia ana maafisa masoko kabisa na mshahara karibu 1.5m per month.
 
Mkuu yule mama anapiga fedha nyingi mno. Akiendelea hivi kwa muda wa miaka kumi atakuwa bilionea wa kweli (siyo wale fake). Hebu fikiria kwa mwezi anachaji sh 1000. Akiwa na vichwa laki tano active, kwa mwezi ni sh. milioni mia tano. Haya ni makadirio ya chini, kila mwezi anaingiza nusu bilioni. Na alikuwa choka mbaya mno.
 
Aisee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…