Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
4,460
Reaction score
13,715
Sir nature alikuwa mfalme wa "the art of street story telling"

Katika wimbo wa Jinsi Kijana aliyasema maneno haya na kwa kweli alikuwa sahihi sana kuhusu bangi kutegemeana na asili ya mtu.

"Hiyo mibangi tunayovuta ni stimu za kulanduka, kama sio fani yako kwa kweli utaambuka, kijasho kitakushuka tereka chemka, utampunguzia nani midhambi isio hesabika, ushakaba, ushaiba, ushauua,"

View: https://youtu.be/7xnKz4mYI6I?si=wbgk3281YFPK57g8

Sisi Kaka zenu ni mashuhuda kushuhudia marafiki zetu na safari zao za bangi. Kuna ambao waliendana hadi leo wanaishi nao fresh, kuna ambao inawazingua kimtindo ila kuna ambao ili waharibia maisha yao kabisa.

TAKE CARE.
 
Weed..!
2e90d84956bd0ffb0b207ffb26ab4675.jpg
 
bangi nibangue, inawabangua mno vijana kwakweli 🐒
 
Back
Top Bottom