Vijana wa 2,000 mnaoanza kutest ganja kirahisi rahisi, sisi Juma Nature alitushauri hivi kwa phrase fupi sana ila yenye maana kubwa sana

Mimi nilichana hii song 🎡 ya Jinsi Kijana kwenye graduation 2002. Kuna alumni 3 wa darasa letu walidata kwa sababu ya bangi na wawili wamekufa. Last year ndio watu wanakumbuka kwamba ile michano yangu ilikuwa onyo kwa wavuta bangi.
 
Aiseeeeeeee hatariii.

Hongera mkuy
 
Uwezo wake kiakili ulikuwaje shule ya msingi kabla hajaanza bangi?
Akiwa darasa la sita alifanya mtihani wa hesabu(CHAHITA )pamoja na darasa la Saba akawa wa pili. Sasa Hapa ukatokea mchuano mkali kati ya huyu dogo wa darasa la sita na brother wa la Saba.
Matokeo ya mwisho ya darasa la Saba brother akatandika kijiti Cha Saba na kuchaguliwa vipaji maalumu xxx, katika furaha brother akamwambia dogo nifuate na huku.
Mwezi January brother akatinga skuli kuanza masoma ya Kidato cha kwanza huku dogo akiwa darasa la Saba. Siku Moja yule brother akapokea barua kutoka Kwa yule dogo ikiwa na maneno machache sana "NITAKUJA BROTHER USIHOFU".
Siku zikaenda na miezi ikafika, wasaa wa mtihani wa darasa la Saba ukawadia. Dogo akapiga kijiti Cha Saba na kumfuata brother vipaji xxx. Akakutana na brother maisha yakaendelea kama kawaida.
 
Kwa Streety Story Telling J Nature hajawahi kupata mpinzani
 
Kumbe mtu alikuwa na akili nyingi kabla hata hajaanza kujifunza kuvuta bangi. Ila Watu wataisifia bangi sekondari kuwa ilikuwa ikimfanya afaulu sana
 
Kumbe mtu alikuwa na akili nyingi kabla hata hajaanza kujifunza kuvuta bangi. Ila Watu wataisifia bangi sekondari kuwa ilikuwa ikimfanya afaulu sana
Nili sahau kidogo, mama yake alikuwa Pusha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…