Vijana wa Arusha acheni ushamba na ujinga

Vijana wa Arusha acheni ushamba na ujinga

Benjamin10

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2016
Posts
409
Reaction score
598
Kiukweli hapo awali nilikuwa nikijua kuwa vijana wa Kisukuma ni washamba, kiukweli ni washamba lakini uzuri wao wanapenda kuelekezwa na kujifunza na kujikubali pia.

Lakini sasa katika uchunguzi wangu nimekuja kugundua vijana wa Arusha ndio washamba na ni wajinga zaidi kwa sababu;

1. Ni wabishi.
2. Hujifanya wao kila kitu wanakijua (yaani wako mbele ya muda).
3. Hawapendi kujifunza na kukubali kuwa kitu fulani hakijui.
4. Hawajui kuvaa.
5. Wanawachukia na hawawapendi vijana wa Dar.
6. Hujiona ni wajanja sana Tanzania nzima.
 
Back
Top Bottom