Hawa heshimiani wakiwa wazima wataheshimu maiti?Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.
Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa balaa wanataka kufukia na mikono ikiwa koleo zipo za kutosha hawasikilizi sauti ya yoyote.
Hakuna msiba unatokea ukapita bila vijana wa arusha kupigana msibani
Ukitaka msiba wa mpendwa wako upite vizuri bila vurugu labda ulete polisi kama hutaki vurugu.
Nawasilisha
Wadudu km wadudu, ktk 1 na 2. Lol
Hizo nguvu za kuchimba kaburi la futi 12 ni afadhali waje Dar es salaam wachukue tenda za kuchimba nashimo ya vy0o.Halafu huo wadudu wanasema ukijiua kizembe wanakuzika futi 12 down.
Na juu ya kaburi tunapanda bangiHalafu huo wadudu wanasema ukijiua kizembe wanakuzika futi 12 down.
Ndiyo wapi hapo? Hebu eleza taratibu nikuelewe, kwa hiyo nikitokea hapa moyo safi nanyongea kwa wapi?Teh.. Kwa Arusha ukisema katika 1 na 2 hapo unaongelea soko la utam pale ololoo kwa chini...
Bar maarufu zinatenganishwa na barabara.. Hapo ndio moja na mbili area...
Huu utakuwa ni uongo kwa sababu misiba siyo public na private. Kila familia ina taratibu zake na siyo kila mtu anaweza kushiriki kwenye mambo kama kuchimba kaburi na kuzika. Familia ndiyo huteua watu.Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.
Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa balaa wanataka kufukia na mikono ikiwa koleo zipo za kutosha hawasikilizi sauti ya yoyote.
Hakuna msiba unatokea ukapita bila vijana wa arusha kupigana msibani
Ukitaka msiba wa mpendwa wako upite vizuri bila vurugu labda ulete polisi kama hutaki vurugu.
Nawasilisha
Kwa hio Pombe hazinywewi huko chuga chuganiHuu utakuwa ni uongo kwa sababu misiba siyo public na private. Kila familia ina taratibu zake na siyo kila mtu anaweza kushiriki kwenye mambo kama kuchimba kaburi na kuzika. Familia ndiyo huteua watu.
Ndiyo wapi hapo? Hebu eleza taratibu nikuelewe, kwa hiyo nikitokea hapa moyo safi nanyongea kwa wapi?
NKule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.