Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

Kule kwetu mkoani wakati wa mazishi hasa wakati wa kupeleka mwili makaburini mpaka kuzika watu wote huwa ni kimya na sauti inayosikilizwa ni Moja tu ya anayeendesha ibada.

Njoo huku arusha yaani kuanzia siku ya msiba ni kulewa na bangi matusi kwa wingi wakati wa kumpumzisha marehemu ndo inakuwa balaa wanataka kufukia na mikono ikiwa koleo zipo za kutosha hawasikilizi sauti ya yoyote.

Hakuna msiba unatokea ukapita bila vijana wa arusha kupigana msibani

Ukitaka msiba wa mpendwa wako upite vizuri bila vurugu labda ulete polisi kama hutaki vurugu.

Nawasilisha
Kama wao wenyewe hawajiheshimu na kujijali wataweza kuheshimu marehemu?
 
Huu utakuwa ni uongo kwa sababu misiba siyo public na private. Kila familia ina taratibu zake na siyo kila mtu anaweza kushiriki kwenye mambo kama kuchimba kaburi na kuzika. Familia ndiyo huteua watu.
Mvuta bangi haangalii kama amealikwa au hajaalikwa. Na usiombee ukawakuta kwenye msiba wa bodaboda.
 
Huu utakuwa ni uongo kwa sababu misiba siyo public na private. Kila familia ina taratibu zake na siyo kila mtu anaweza kushiriki kwenye mambo kama kuchimba kaburi na kuzika. Familia ndiyo huteua watu.
Mtoa mada ni mtu wa Kanda ya ziwani bila shaka wanakuaga na shida ya akili hawa watu😂
Niliona thread yake nyingine kaandika vijana wa Arusha watamalizwa na pikipiki mwambieni huyu msukuma arudi kwao bhana atuachie chuga yetu
 
Wanaibua tamaduni zao mpya za kihuni na kuacha zile za asili na bila shaka wazee wa huko nao hawakemei hilo.
 
Mtoa mada ni mtu wa Kanda ya ziwani bila shaka wanakuaga na shida ya akili hawa watu😂
Niliona thread yake nyingine kaandika vijana wa Arusha watamalizwa na pikipiki mwambieni huyu msukuma arudi kwao bhana atuachie chuga yetu
Uongo wangu ni upi sasa kaka maana Kila siku tunawazika na pia vilema wanazidi kujaa Tena vijana wadogo kabisa 80 ya vijana wa arusha umri kuanzia 20 age wana makovu mwilini.
 
Huu utakuwa ni uongo kwa sababu misiba siyo public na private. Kila familia ina taratibu zake na siyo kila mtu anaweza kushiriki kwenye mambo kama kuchimba kaburi na kuzika. Familia ndiyo huteua watu.
Hajakosea mkuu,misiba mingi ya Arusha ni kwere mzee.
Mingi sana huwa ni vurugu,pombe bange ,mirungi Yan ni shida asikuambie mtu
 
Ni wakati sasa kwa mh.Makonda kuongezewa nguvu za KIMKAKATI kufanya "behavioral and psychological reforms" kwa vijana wenzetu wa Arusha....

Hata hapa Dar es salaam ,popote walipo vijana wenye asili ya jiji la Arusha huwa na tabia tofauti kidogo na wengine...

Nenda kwenye madambwe ya DALADALA na BODABODA....usela nnya* ni mwingi sana kwao....

Kama taifa la watu wema na wakarimu hebu tufanye INITIATIVES tukisaidie kizazi KIJACHO cha Arusha.....

Niliwahi kukutana na kijana mwalimu aliyepata kazi huko ,akibibirishana na maombi TAMISEMI ahamie mkoa mwingine baada ya vitoto vyake KUBADILIKA tabia ndani ya muda mfupi wa kuwa huko....

This is serious wakuu ,immediate measures should be sought accordingly!!.

#Tanzania Kwanza milele dumu aamin !!
 
Back
Top Bottom