Vijana wa Arusha hawaheshimu Tena mazishi

Mkuu wa Mkoa mwenyewe ni wa hovyo, alimpiga mtama mbele ya bunge la katiba nchi nzima ikiona Jaji Warioba
 
Paul Makonda huyuhuyu mtovu wa nidhamu anawezaje kuwaadabisha wahuni wenzake?
Makonda alifoji jina, akafoji vyeti, alimpiga mtama Mzee Warioba hadharani, alidhulumu magari ya watu, alisingizia watu kuuza madawa ya kulevya.

Makonda ni hayawani aliyeko ofisini
 
Nitaongelea TUHUMA moja tu kati ya ulizomtuhumu....

Binafsi nilikuwepo pale UBUNGO PLAZA siku ya mkutano ule....

Nikiwa miongoni mwa vijana wa UVCCM tulikaa kule JUU...upande mwingine walikuwepo BAVICHA....

Vurugu zilianzia kati ya makundi hayo niliyoyataja.....

Ndg.Paulo Makonda alikuwa kule chini karibu na mzee wetu mh.Jaji Warioba....

Purukushani za kule juu tulikokuweko zilipelekea kurushiana viti na vingine kufika kule chini...kwa macho yangu nilishuhudia mh.Makonda akivizuia baadhi ya viti vilivyokuwa vinaelekea kwa mzee Warioba ,huku naye akisaidiwa na walinzi wake...

Kibinadamu na sijui kwa kutaka kuonekana anasaidia asidhurike ,alimshika mkono mzee wetu na hapo ndipo zile PICHA za tuhuma zilisambazwa kila kona....hakika ulikuwa ni MKAKATI wa kumchafua huyu ndugu Makonda.....

Back to my point.....

Arusha inahitaji INTERVENTION ya kimaadili kwa vijana kupitia UAMSHO wa viongozi wa kidini ,wanasiasa ,AZAKI na wengineo....

#Tanzania milele dumu aaamin!
 
UVCCM ni chuo cha mafunzo ya uchawa.

MTU wa kuibadili Arusha ni Mwana Arusha mwenyewe
 
UVCCM ni chuo cha mafunzo ya uchawa.

MTU wa kuibadili Arusha ni Mwana Arusha mwenyewe
Mkuu taji ulilopewa la kutuhumu muda wake unaisha lini ?!!

UVCCM tuko wengi na tabia tofauti kama walivyo BAVICHA.....

Lengo letu kuu ni kuendelea kukisemea CHAMA na ITIKADI yake ,sasa hayo ya kuwaita MACHAWA nadhani tuna dhima ya kuheshimu UHURU WA MAWAZO YA KILA MTANZANIA....

Usiku mwema mkuu ,amen!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…