Vijana wa Arusha kuuona uhuni na usela ni ujanja kunazidi kulitafuna jiji, usalama umepungua, maadili yameshuka, serikali haina msaada

Acha uzushi wa kijinga we Arusha hata huifahamu. Huo upuuzi upo pembezoni tena sehemu chache sana. Km umetumwa kuharibu taswira ya mji wetu mzuri ushindwe na ulegee we kenge
 
Hao unaowaita wambulu hawajahamia Arusha, Arusha ndio kwao kwa maana ya makao makuu ya mkoa, sasa wamehamia kutoka wapi kwanini unakuwa mpotoshaji hivyo? Km jambo hulifahamu kaa kimya
 
Sawa bana chalii ya dar!
Huijui chuga wewe unangaliia ma clip ya Facebook huko!
Wivu tu umewajaa na jiji letu ndo maana mnalialia
Mkuu

I wonder haya majitu ya Dar kwanini yana wivu sana na Arusha

Arusha ni unique na wana culture yao,whether they like or not!

Na hakuna mtu wa Arusha ameomba ushauri wa how to live from anyone!

Dar sijui kwanini wana wivu sana!

Mimi ni mwenyeji wa Dar ila,I cant stand these motherfvckers!
 
Swala la Arusha linazidi kuwa kichomi na media zikiongozwa na Tv flani maarufu zimekuwa zikitoa promo mda mwingi kuhusiana na haya matukio ya vijana kuongea hovyo mbele ya camera mpaka hivi sasa imekuwa kama jadi yao hata kama ulikuwa unaweza ongea vizuri inabidi ubadili style ili uwe kama wao.
Nadhani ni high time wazee wa Arusha na serikali wafikirie jinsi ya kudhibiti hali ya hawa vijana future ya Arusha ndio hiyo inazidi puputika.
 
Hawajitambui bro! Wageni kutoka mbele huko wakija Arusha Wana wish wangekuja before watu huku wako real sana hayo mambo wanayosema ni chai tu
Niko hapa zaidi ya miaka 30 vitu vinavyozungumziwa vipo Kila Kona hii nchi
Wao wanajali mavazi na shada sisi tunatafuta jala
 
Hahahaaa

Hapo ndio wivu unapoanzia,Arusha kujulikana internationally zaidi ya Dar

Kinawauma sana yaani

I feel sorry for these suckers!
 
Your browser is not able to display this video.
 
dar vijana wanashindana na wadada kwa urembo, wengine wanakulana

hili mbona hatulizungumzii??
Kwenye kukulana ndo msiongee kabisa, ubingwa wa machalii wengi wa huko Arusha unaondolewa na wazungu, mna shobo sana. Tour operators wengi, porters na wote wenye shobo na wazungu mnatobolewa sana yaani sana mnoo.
 
Wakiona vile vituko badala kusikitika wanasema "Arusha iwe nchi bhana" yaani piga hesabu ndo mwanao anakuwa wa hovyo kuvaa manguo oversize na bangi nyingi🥹.
Washikaji wengi tumewazika sababu ya ujinga huu, bado kuna waliokuwa hopeless kabisa sahivi yaani nusu teja nusu kichaa. Na bado naona madogo wanaangukia walipoangukia kaka zao.

Inasikitisha sana.
 
Aisee, mi nipo kwenye compound ya watu watatu kila mtu kivyake ila unaweza kukuta dirisha nimeacha wazi kabisa, mlango nimeufungua na mtu anaingia kwake anawaangalia hata kusalimia hasalimii aisee. Acha kabisa...!
Sehem yenye exposure mambo ya kusalimiana yashapitwa na wakat...we unataka kusalimiwa ili ikusaidie Nini?nenda huko duniani uone kama Kuna mtu mweny kumind buznss na mtu
 

Arusha ushoga umezidi kwa kupenda pesa za mtelezo.
 
Kwa kweli Arusha ni shida, wizi kwenye vile vigari vyao ni kugusa tu, hapo stendi akina mama kukwapuliwa mokoba. Kinachochangia hasa ni malezi mabovu kwa jamii ya hayo makabila uliyoyataja yanayopatikana huko.
 
Bahati nzuri ujinga wanafanyiana wao kwa wao. Nilikuwa huko 2016 nikatoa demo kwa mbabe wao mmoja wa kitaa kukawa na heshima.
Kikubwa ukienda huko jitahidi wasikuzoee na mind your own business utaishi poa sana na watakupa michongo kama yote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…