Familia nyingi za wakazi wa Arusha zina wahanga wa ajali za pikipiki. Nimepoteza ndugu na marafiki kadhaa kwa sababu ya pikipiki. Tatizo pia ni hizi pombe wanazokunywa.Sio ndo hawa wana group huko FB linaitwa Bike Riders? Ni vijana wa Arusha huko, ukitazama clip zao had unaogopa jinsi wanavyo endesha hizo boda zao.
Na watakufa sana, hapo bado yaan. Lol
Wana overtak ovyo bora boda wa dar kuliko ArushaFamilia nyingi za wakazi wa Arusha zina wahanga wa ajali za pikipiki. Nimepoteza ndugu na marafiki kadhaa kwa sababu ya pikipiki. Tatizo pia ni hizi pombe wanazokunywa.
Sinoray zinawamaliza mnazisifia gia sita sijui eeehTumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki
Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa kimepasuka.
Nafika Arusha nakutana Tena na msiba kijana kafa kwa ajali ya pikipiki.
Kesho asubuhi Tena nasikia ajali ya pikipiki imeua mtaa wa tatu, dah!
Leo asubuhi nasikia jamaa zangu wawili wamepata ajali usiku wapo Mount Meru hawana fahamu
Mwisho nagundua Kati ya ajali kumi za pikipiki ni Moja au mbili wanakuwa wamebeba abiria.
Kifo ni kifo - SamiaPia pombe kali zitawafyeka sana na energy drinks.
Na bange pia.Familia nyingi za wakazi wa Arusha zina wahanga wa ajali za pikipiki. Nimepoteza ndugu na marafiki kadhaa kwa sababu ya pikipiki. Tatizo pia ni hizi pombe wanazokunywa.
Acha siasa sehemu isiyohitajikaKifo ni kifo - Samia
Kiukweli bodaboda sio ajira ya kuifurahia. Majanga ni makubwa mno.bodaboda zinauwa na kusababisha vilema kila pembe ya nchi nenda moi au bugando
uombe statistics za visa vya bodada uone .
issues ni kuchek mazingira ya kufutiliia mbali usafiri wa boda
Makofi huwa yanasaidia kureboot system.Kumbe na wew umeliona ase kuna siku nilikuwa nawai Tahmed nikachukua boda akaendesha ovyo ovyo nikapiga kofi moja tu then nikashuka chap
Nikisikiaga mtu anausema vibaya mmea naumia sana.Na bange pia.