Sure wanajitoa sana ufahamuMakofi huwa yanasaidia kureboot system.
Ukipata ajali hakikisha unakufa hiyo ndo torati ya chuga.
Hizo haziwaondoi sana, efffect yake hizo huonekana as age unavyokwenda. Impact haitoonekana muda huu wakati mwili uko activePia pombe kali zitawafyeka sana na energy drinks.
Pikipiki na ulevi havikai pamojaTumetoka arusha asubuhi tumeenda Rombo kumzika jamaa yetu aliyekufa kwa ajali ya pikipiki
Wakati tunarudi usiku saa mbili nakutana na ajali ya pikipiki kijana kapata ajali kafa hapo hapo kichwa kimepasuka.
Nafika Arusha nakutana Tena na msiba kijana kafa kwa ajali ya pikipiki.
Kesho asubuhi Tena nasikia ajali ya pikipiki imeua mtaa wa tatu, dah!
Leo asubuhi nasikia jamaa zangu wawili wamepata ajali usiku wapo Mount Meru hawana fahamu
Mwisho nagundua Kati ya ajali kumi za pikipiki ni Moja au mbili wanakuwa wamebeba abiria.
Muda pekee utamuona kiongoz kapanda toyo ni wakati wa kampenisijawahi fika chuga, ila kwa ninayosikia kutoka huko inaonekana ni kupanda boda ni hatari sana..... LAKINI bodaboda wanakufa sana kwa ajali kila siku nchi nzima, ni vile viongozi wetu hawapandi hizo bodaboda wala ndugu zao,... bodaboda ni laana
Tafuta siku utembeleesijawahi fika chuga, ila kwa ninayosikia kutoka huko inaonekana ni kupanda boda ni hatari sana..... LAKINI bodaboda wanakufa sana kwa ajali kila siku nchi nzima, ni vile viongozi wetu hawapandi hizo bodaboda wala ndugu zao,... bodaboda ni laana