Vijana wa Arusha watamalizwa na pikipiki

Nikiwa Arusha nawakwepa watu wa boda boda yaani muda mwingine nasimama kabisa ili apite kwa uhuru maana walivyo nunda wanapita katikati ya magari mawili wao wanaita nyembe kwa kasi kubwa usipowapunguzia mwendo utawagonga kila siku na madereva wa magari Arusha wana haraka muda wote ndio maana hizo ajali zipo nyingi..
 
wanaendesha hovyo sana mtu ananunua chuma mpya anaichinja as if designer hakuwa anajielewa kumbe wanaondoa safety tools, kuna pikipiki sipandi hata unishikie chuma
 
sijawahi fika chuga, ila kwa ninayosikia kutoka huko inaonekana ni kupanda boda ni hatari sana..... LAKINI bodaboda wanakufa sana kwa ajali kila siku nchi nzima, ni vile viongozi wetu hawapandi hizo bodaboda wala ndugu zao,... bodaboda ni laana
 
Pikipiki na ulevi havikai pamoja
 
Serikali imgeongoza ushuru wa pikipik ziuzwe hata milion tano hizi za mchina ili ziendeshwe na wachache ila kwa kuwa ni Tz no one care
 
sijawahi fika chuga, ila kwa ninayosikia kutoka huko inaonekana ni kupanda boda ni hatari sana..... LAKINI bodaboda wanakufa sana kwa ajali kila siku nchi nzima, ni vile viongozi wetu hawapandi hizo bodaboda wala ndugu zao,... bodaboda ni laana
Muda pekee utamuona kiongoz kapanda toyo ni wakati wa kampeni
 
Nafanya kazi maeneo ya hospitali, kwa wiki hatukosi ajali atleast 10, na zote zinahusisha pikipiki..

Hata kama ajali itahusisha gari na pikipiki, atakayeumia zaidi ni pikipiki..
 
Na ajali nyingi za boda zisizohusisha vyombo vingine huwa hakuna hata ushiriki wa polisi kwa hiyo takwimu zinazorekodiwa na TP hazina uhalisia.
 
sijawahi fika chuga, ila kwa ninayosikia kutoka huko inaonekana ni kupanda boda ni hatari sana..... LAKINI bodaboda wanakufa sana kwa ajali kila siku nchi nzima, ni vile viongozi wetu hawapandi hizo bodaboda wala ndugu zao,... bodaboda ni laana
Tafuta siku utembelee
 
Jana kigamboni mmoja kidogo apelekwe mbinguni kwa baba, yani nyang'anyang'a
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…