Vijana wa Arusha watamalizwa na pikipiki

Sinoray zinawamaliza mnazisifia gia sita sijui eeeh

Bike mpya ikinunuliwa side mirror wanazitoa wenyewe, tatizo pia linaanzia hapa

Mungu atunusuru
Pamoja na dashboard zinang'olewa ili isioneshe mwendokasi inaokimbia dereva akatishika.

Kuvaa helment kwao ni msamiati na ni kipengele kisichokuwa na mbadala!
 
bodaboda zinauwa na kusababisha vilema kila pembe ya nchi nenda moi au bugando
uombe statistics za visa vya bodada uone .

issues ni kuchek mazingira ya kufutiliia mbali usafiri wa boda
Ili wafanye kazi gani mkuu, unafutilia mbali kazi ya bodaboda na huna mbadala, utatengeneza bomb la wezi na vibaka Tanzania nzima.
 
-Bangi
-Pombe kali

Hili ni tatizo kubwa sana na litazidi kumaliza kizazi hiki, vijana wamekuwa wala mihadarati na pombe kali, ajali hazitaisha.
 
Hawa vijana waendesha boda saa zingine unashindwa hata kuwaonea huruma. Walio makini ni wachache na kama wanapata ajali basi ni bahati mbaya.
Ila wengi wao wana usela wa ajabu ajabu wanaendesha kwa speed na mbwembwe za kihuni acha tu wafe.
 
USA huko sio Tanzania
 
Wakati mwingine sifa za kijinga zinawatanguliza kuzimu,utadhani malipo ukiwa unaendesha rafu barabarani.
 
Sio Arusha tu ,,,, Boda boda sio kazi ! Una risk maisha yako ukiwa unaona hivi hivi,,, !!
 
Pamoja na dashboard zinang'olewa ili isioneshe mwendokasi inaokimbia dereva akatishika.

Kuvaa helment kwao ni msamiati na ni kipengele kisichokuwa na mbadala!
Huu ujinga wanaofanya unaisadia nature kuwaondoa wajinga. Natural selection ina mechanism nyingi. Kwenye survival for the fittest, wapo wataowaishwa kwa ukosefu wa physical strength, wengine kwa kuwa na afya mbovu, wengine wazembe, wengine kama hawa bodaboda, ujinga (akili mbovu) unawaondoa , nature inafanyakazi and the fiitest will survive.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…