Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una hoja ya msingi sana hapaWanaacha mizigo sana kwa ndugu mahospitalini ajali zao ni za kutisha kwa kweli wengine hufikia hata hatua ya kupoteza kumbukumbu.
Hawa watoto wanatumia mihadarati inayopelekea kuchanganyikiwa wawepo barabarani?
Kwa hakika ningelikuwa na mamlaka, ningepiga marufuku boda kufanya biashara ya abiria!Hizo ni ajira kwa mujibu wa CCM, ni Tanzania pekee Duniani inatambua Pikipiki kama ajira. Pia hao ni mtaji wa CCM
Waache waendelee na kazi zao mbona vibaka watakuwa wengi mtaaniKwa hakika ningelikuwa na mamlaka, ningepiga marufuku boda kufanya biashara ya abiria!
Vijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto?
Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana.
Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na vyombo vya moto tena vilivyo katika mwendo kasi mimi kwa kweli hunihuzunisha sana.
Inaonekana ni watoto wasiojali uhai wao wala hata afya yao pale matukio mabaya yatakapo wapata.
Wanaacha mizigo sana kwa ndugu mahospitalini ajali zao ni za kutisha kwa kweli wengine hufikia hata hatua ya kupoteza kumbukumbu.
Hawa watoto wanatumia mihadarati inayopelekea kuchanganyikiwa wawepo barabarani?
Hawathamini hata watumiaji wengine wa barabara, hawa thamini wamiliki wa vyombo waliowapatia ili kujiingizia vipato serikali nayo ni kama imewapa kisongo haitaki kuji shughulisha nao.
Nini kifanyike kudhibiti tabia za hawa watoto pale wawepo katika vyombo vya usafiri ? Sheria gani zitungwe kwa ajili yao, elimu gani itolewe kwa ajili yao
Should they!?Do they care? Tuanzie hapo kwanza
Upatikanaji wa pikipiki umekuwa mrahisi, plus ni almost hawapewi adhabu yoyote na vyombo vya sheria, ndio maana akili hawatumii na wala hawaheshim sheria za barabaraniVijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto?
Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana.
Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na vyombo vya moto tena vilivyo katika mwendo kasi mimi kwa kweli hunihuzunisha sana.
Inaonekana ni watoto wasiojali uhai wao wala hata afya yao pale matukio mabaya yatakapo wapata.
Wanaacha mizigo sana kwa ndugu mahospitalini ajali zao ni za kutisha kwa kweli wengine hufikia hata hatua ya kupoteza kumbukumbu.
Hawa watoto wanatumia mihadarati inayopelekea kuchanganyikiwa wawepo barabarani?
Hawathamini hata watumiaji wengine wa barabara, hawa thamini wamiliki wa vyombo waliowapatia ili kujiingizia vipato serikali nayo ni kama imewapa kisongo haitaki kuji shughulisha nao.
Nini kifanyike kudhibiti tabia za hawa watoto pale wawepo katika vyombo vya usafiri ? Sheria gani zitungwe kwa ajili yao, elimu gani itolewe kwa ajili yao
Hii Morogoro road kuanzia pale kimara stop over zinapoanzia njia nane kuelekea mpaka kibamba ni sehemu moja hatari mnoo, Watu wanafunguka mnoo afu hawa ndugu zetu boda na bajaji wala hawaogopiSiku hiz Barabara za mwendokasi ni za kwao bodaboda na bajaji hasa njia ya kimara
Hii nchi sijui tunaelekea wap
Maafisa UsafirishajiVijana waendesha boda boda na bajaj wana matatizo gani hawa watoto?
Matukio wanayo fanya na kuwatukia barabarani ni ya kusikitisha sana.
Hawa watoto wanafanya michezo ya hatari barabarani na vyombo vya moto tena vilivyo katika mwendo kasi mimi kwa kweli hunihuzunisha sana.
Inaonekana ni watoto wasiojali uhai wao wala hata afya yao pale matukio mabaya yatakapo wapata.
Wanaacha mizigo sana kwa ndugu mahospitalini ajali zao ni za kutisha kwa kweli wengine hufikia hata hatua ya kupoteza kumbukumbu.
Hawa watoto wanatumia mihadarati inayopelekea kuchanganyikiwa wawepo barabarani?
Hawathamini hata watumiaji wengine wa barabara, hawa thamini wamiliki wa vyombo waliowapatia ili kujiingizia vipato serikali nayo ni kama imewapa kisongo haitaki kuji shughulisha nao.
Nini kifanyike kudhibiti tabia za hawa watoto pale wawepo katika vyombo vya usafiri ? Sheria gani zitungwe kwa ajili yao, elimu gani itolewe kwa ajili yao
Hilo si suruhisho kwa sababu,kwa Tanzania,ukiangalia utakuta ndo usafili kila mtu anaouweza. Pia,msisahau. Wale vibaka(sio wote ni madereva),wapo wakipewa elfu 5 au 10,anakimbia nayo huku unae. Hao mnadhani wataenda wapi? Kuna wale wanaohitaji kugegeda wake zenu. Nao ukipiga marufuku,watageukia kusubiria watoto wenu njiani. Kuna wale wakuagizwa makahaba. Yatakuwa yanafikaje? Bado wana umhimu sanaKwa hakika ningelikuwa na mamlaka, ningepiga marufuku boda kufanya biashara ya abiria!
Mkuu bodaboda kuwa usafiri ambao kila mtu anauweza means tumefali kama nchi, kwanini zisiwepo tram na trains ? Vijana wapewe ajira viwandani na iwekwe miundombinu mbadalaHilo si suruhisho kwa sababu,kwa Tanzania,ukiangalia utakuta ndo usafili kila mtu anaouweza. Pia,msisahau. Wale vibaka(sio wote ni madereva),wapo wakipewa elfu 5 au 10,anakimbia nayo huku unae. Hao mnadhani wataenda wapi? Kuna wale wanaohitaji kugegeda wake zenu. Nao ukipiga marufuku,watageukia kusubiria watoto wenu njiani. Kuna wale wakuagizwa makahaba. Yatakuwa yanafikaje? Bado wana umhimu sana
CCM sijui wanatuonaje wamefikia hatua hadi ya kuwaita eti maafisa usafirishaji hahaha.Hizo ni ajira kwa mujibu wa CCM, ni Tanzania pekee Duniani inatambua Pikipiki kama ajira. Pia hao ni mtaji wa CCM
Mkuu yaani unalinganisha Bongo na New York!Mkuu bodaboda kuwa usafiri ambao kila mtu anauweza means tumefali kama nchi, kwanini zisiwepo tram na trains ? Vijana wapewe ajira viwandani na iwekwe miundombinu mbadala
New York na majiji makubwa mengine usafiri wa binafsi ni Taxi
Uzuri umedumbukiamo. Viongozi wangekuwa wanajielewa,hii nchi isingekuwa inalalamika kiasi hiki. Ukiongea na watu wanaofanya kazi viwandani,utasikitika. Bora huyo anaeendesha bodaboda. Viwandani wanapigishwa kazi kama punda,mda wanaotaka wenye viwanda,mshahara kiduchu.Mkuu bodaboda kuwa usafiri ambao kila mtu anauweza means tumefali kama nchi, kwanini zisiwepo tram na trains ? Vijana wapewe ajira viwandani na iwekwe miundombinu mbadala
New York na majiji makubwa mengine usafiri wa binafsi ni Taxi
Mkuu kwani tunataka kwenda wapi ? Serikali yenyewe inalinganisha hivo kila siku na kuna watumishi wa serikali huwa wanaenda ulaya na america kujifunza mipango miji nkMkuu yaani unalinganisha Bongo na New York!
Bodaboda na bajaji zingepigwa marufuku kwenye highways zote.Hii Morogoro road kuanzia pale kimara stop over zinapoanzia njia nane kuelekea mpaka kibamba ni sehemu moja hatari mnoo, Watu wanafunguka mnoo afu hawa ndugu zetu boda na bajaji wala hawaogopi